Urembo wa nywele za wanawake na haiba yake katika mahusiano

Urembo wa nywele za wanawake na haiba yake katika mahusiano

Leo ngoja niseme lililo moyoni mimi mama Ngina akiwa na nywele zake asilia awe amesuka au kachana nikimgusa tu kichwani naanza kuhangaika na kuona usiku unachelewa kufika lakini akivaa manywele ya bandia huwa natamani tugawane vitanda, atakae niona mie mshamba basi na aseme ukweli utabaki palepale nywele asilia zinavutia na kuleta hamasa !!!!

image.jpgNi kweli nywele asilia pia ni mzuri iwapo muhusika atajua kuzihudumia vizuri...wala siyo ushamba kwani wewe ni mume na unapenda make wako aonekani vipi. Lakini hebu angalia hizi picha 2,ni nani kapendeza zaidi?
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    423 KB · Views: 287
very seldom kwa mwaka once
Good...lakini kama hali yako ya uchumi inaruhusu inakupasa ufanye kwa mwezi mara 2. Na ukishindwa sana au ukibanwa sana na majukumu basi jitahidi ufanye hata kwa mwezi mara moja.
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    449.1 KB · Views: 317
Hicho ni kitu ambacho chaweza kukutofautisha wewe na yeye,muda mwingine ni vyema kuheshimu hisia na vipendeleo vya mwenzio ilimradi havina madhara.
Ilikuwa moja ya mjadala ulionichukua muda mrefu na mchumba wangu kuliko yote na alikataa kata kata hanyoi, hasuki nywele zake kama nywele zake na wala haachi kununua wigi (for emergence ikitokea). niliamua kuufunga mjadala kwa kukataa mawigi ya hovyo na kusukia uzi ila nikaruhusu kwa shingo upande baadhi ya mawigi, kusuka yebo yebo na kuchana nywele zake(ndio wazo langu pekee lilipita)! Hataenda nje ya hapo ila duh hawa wanawake noma!
 
Asilimia kubwa ya wanawake wa Tanzania hawajiamini. Na sio kwenye nyele tu hata ngozi.

Siyo kweli...hao hapo ni wanawake wa kizungu wakihudumiwa au kupewa urembo kwenye moja ya salon ndani ya Bongo.
Amini nakuambia ni vigumu sana kumtenganisha mwanamke na urembo.
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    429.3 KB · Views: 251
  • image.jpg
    image.jpg
    485.2 KB · Views: 265
Hicho ni kitu ambacho chaweza kukutofautisha wewe na yeye,muda mwingine ni vyema kuheshimu hisia na vipendeleo vya mwenzio ilimradi havina madhara.
Good sound...nimeipenda hii. Sometime mfumo dume nao siyo mzuri
 
nywere zinawapendeza ofcoz.but kinachonikera ni kwamba hizo unywele moja moja they are everywhere jikoni, sebureni, etc

Kaka hapo umeniwahi,yaani nachukia kila sehemu nywele mpaka mafuta, vitana inabidi kuchambua yaani nywele everywhere.
 
Kaka hapo umeniwahi,yaani nachukia kila sehemu nywele mpaka mafuta, vitana inabidi kuchambua yaani nywele everywhere.
Ha ha haaa poleni sana wanaume wenzangu...naweza ona ni jinsi gani mnakwazika na hao mashemeji zangu!.
Lakini je,hao mashemeji zangu wananunua na kushonewa original human hair weaving? Original human hair weaving haikeri na haichomoki chomoki hovyo.
Ila kwenye swala la mafuta hapo ninakubaliana na ninyi kwani baadhi ya hawa dada zetu hupenda kujaza au kupaka mafuta mengi kwenye nywele badala ya kupaka chini ya ngozi. Niiteni siku moja huko kwenu nije kutoa darasa la urembo kwa hao mashemeji zangu.
 
Hicho ni kitu ambacho chaweza kukutofautisha wewe na yeye,muda mwingine ni vyema kuheshimu hisia na vipendeleo vya mwenzio ilimradi havina madhara.
Si rahisi kutengana maana sisi tumejijengea utaratibu wa kuamua kila kitu kupitia table discussion na mwisho wa siku tunachukua maamzi ya pamoja!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Totally,style ni nyingi sana pesa ako na muda tu,..napenda weavings the most,easy kusuka,fumua,kuosha na ukimpata msusi mzuri KUPENDEZA NI LAZIMA

ukiwa na weave ambayo ni natural hair, na isiwe ndefu sana kama 12 inches+, chukua 8-10 inches na rangi inayofanana na nywele zako.... ukipata msusi mzuri, either ui-bond au usukwe na msusi mzuri, mtu anaweza ajue ni nywele zako, mpaka akushike kichwa ndio atajua si nywele zako
 
Wanaume Wengi huwa atuangalii nywele kama kigezo..muonekano na tabia that's all..me huwa nashangaa wanajicomplicate na mawig it utadhan father xmas...bora kusuka or a simple haircut au aweke dawa lakin sio hiyo mi lance wig sijui..we are fully aware it's fake!!..unakuta ukimgusa tu kichwa ugomvi..kila saa kujitikisa kichwa sijui ndo pozi yani huwa nabaki hoi!!

Ha ha haaa umenichekesha sana Mkuu! Any way pole sana...hayo ndiyo mambo ya dada zetu na urembo.
Je,kati ya picha hizi mbili...ungependa mpenzi au mke wako awenayo ipi? Hebu angalia kati ya hawa nani kapendeza kwa hair style?image.jpg
 
Back
Top Bottom