julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
Ilikuwa moja ya mjadala ulionichukua muda mrefu na mchumba wangu kuliko yote na alikataa kata kata hanyoi, hasuki nywele zake kama nywele zake na wala haachi kununua wigi (for emergence ikitokea). niliamua kuufunga mjadala kwa kukataa mawigi ya hovyo na kusukia uzi ila nikaruhusu kwa shingo upande baadhi ya mawigi, kusuka yebo yebo na kuchana nywele zake(ndio wazo langu pekee lilipita)! Hataenda nje ya hapo ila duh hawa wanawake noma!

