Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Mhhhh mi sijawahi kuvaa kabisa. Ila sina tatizo na wanaovaa. Natamani kujua kazi yake au ni urembo tu kama urembo mwingine? Cc. Wanawake wa humu mje mtupe experience.

binti kiziwi;
Nakuunga mkono kabisa. Usivamie vitu usovijua. Kama ni urembo, kwa nini uzifiche?? Wamasai huzivaa nje, iweje urembo ufichwe?? Kwanza nikikutana naye njiani wala sizionagi ati mpaka nimsomeshe aingie darasani tukafanye mtihani wetu ndo natambua kuwa kavaa shanga. Ni upuuz tu. Sku izi hata ukimfikisha chumbani ukakuta hana kufuli yaani kyupi hushangai. Mbona kwa wengine inaleta taabu na michubuko?? Hata midume mingine haijui utamu wake, tukubaliane
 
siyo urembo wote ni wakuonyesha kila mtu. kama urembo kwako ni hadi uwe wazi watu wangekuwa hawavai chupi zenye urembo. shanga ni urembo wa kutoka zamani sana.
 
siyo urembo wote ni wakuonyesha kila mtu. kama urembo kwako ni hadi uwe wazi watu wangekuwa hawavai chupi zenye urembo. shanga ni urembo wa kutoka zamani sana.

Hujui maana ya shanga weye acha tu. Ndo maana mnava kyupi kya maua utadhani ni leso ya kufunga kichwani. That is nothing ma dear. Shanga zina kazi yake, ile ni chachandu si urembo
 
Hujui maana ya shanga weye acha tu. Ndo maana mnava kyupi kya maua utadhani ni leso ya kufunga kichwani. That is nothing ma dear. Shanga zina kazi yake, ile ni chachandu si urembo
mi ni me mkuu. ila mi najui ni urembo maana dhumuni lake ni kufanya mtu avutie na kupendeza.
 
mi ni me mkuu. ila mi najui ni urembo maana dhumuni lake ni kufanya mtu avutie na kupendeza.
Red Giant;
Sikusema kuwa we ni ke. Miye nilikuambia kuwa hujui maana yake wala matumizi yake. Shanga si urembo, ni chachandu ileee. Zina kazi maalum na haswa kwenye tendo lileeeeee. Ka mwanaume hajui kuzitumia utaishia kuzishikashika tu na kudhani kuwa ati ni urembo.
Zingekuwa urembo angezitoa mkipanda kitandani. Usizifananishe na kyupi. Siku ukibahatika kumpata mtaalam wake, mwombe akusaidie kuzitumia. Wengi wa utaalam huo hupenda uzitumie ukiwa kwenye hiyo shughuli ukimshughulikia. Ndo utaujua uzuri wa hiyo kitu.
 
Mhhhh mi sijawahi kuvaa kabisa. Ila sina tatizo na wanaovaa. Natamani kujua kazi yake au ni urembo tu kama urembo mwingine? Cc. Wanawake wa humu mje mtupe experience.
Ahhhhhh binti kiziwi, nikujifanya usikii kweli ama umetia pamba masikioni,hujawahi kusikia kweli, inasemekana shanga inakata kiuno na kutengeneza shape eti
 
Ahhhhhh binti kiziwi, nikujifanya usikii kweli ama umetia pamba masikioni,hujawahi kusikia kweli, inasemekana shanga inakata kiuno na kutengeneza shape eti
pia kama weight alert.
 
Reactions: kui
nimeshindwa kuelewa kama nimependa shanga au mvaaji!
jukwaa hili mbona zuri kwangu, yaani burudani za chumbani za kufa mtu, ila sijui itakuwaje kale katoto kangu ninakokaona kanashinda jf baada ya kufeli 4m4?
viva ulimbwende.
 
Ahhhhhh binti kiziwi, nikujifanya usikii kweli ama umetia pamba masikioni,hujawahi kusikia kweli, inasemekana shanga inakata kiuno na kutengeneza shape eti
Mhhh ya kweli haya ndugu? Sijawahi kukaa na bibi au mashangazi haya ntayajulia wapi!
 
pia kama weight alert.

Cc binti kiziwi

B. Kiziwi hii ya weight alert ni sababu kubwa nyingine inayonifanya niwe na chochote kwa waist, napendelea zaidi gold chain zinasaidia kama hutaki kupanda kwenye scale mara kwa mara.
Zikinibana najua nimeongezeka so kama nataka kupungua au kubaki the same I work on it.
Chain inapendeza kama umevaa tight jeans or stretch pants halafu uitoe nje kiasi, iwe kama inaonekana kwa bahati mbaya vile...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…