mandinka
Senior Member
- Apr 21, 2014
- 186
- 37
Kwa hiyo unataka kuniambiwa Edo siku moja moja huwa anaenda lumumba kusalimia!?Chama cha chaputa ukishapata usajili ni ngumu ku-resign mkuu,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo unataka kuniambiwa Edo siku moja moja huwa anaenda lumumba kusalimia!?Chama cha chaputa ukishapata usajili ni ngumu ku-resign mkuu,
Mhhhh mi sijawahi kuvaa kabisa. Ila sina tatizo na wanaovaa. Natamani kujua kazi yake au ni urembo tu kama urembo mwingine? Cc. Wanawake wa humu mje mtupe experience.
anakataza urembo na kujipamba?Mnazidi kumpa hasira Bwana Trump...
siyo urembo wote ni wakuonyesha kila mtu. kama urembo kwako ni hadi uwe wazi watu wangekuwa hawavai chupi zenye urembo. shanga ni urembo wa kutoka zamani sana.binti kiziwi;
Nakuunga mkono kabisa. Usivamie vitu usovijua. Kama ni urembo, kwa nini uzifiche?? Wamasai huzivaa nje, iweje urembo ufichwe?? Kwanza nikikutana naye njiani wala sizionagi ati mpaka nimsomeshe aingie darasani tukafanye mtihani wetu ndo natambua kuwa kavaa shanga. Ni upuuz tu. Sku izi hata ukimfikisha chumbani ukakuta hana kufuli yaani kyupi hushangai. Mbona kwa wengine inaleta taabu na michubuko?? Hata midume mingine haijui utamu wake, tukubaliane
Aisee mbona unaipa sofa za uongo au unanitusi kijanjaHuyo wa juu mbona namfananisha na miss chagga ?
siyo urembo wote ni wakuonyesha kila mtu. kama urembo kwako ni hadi uwe wazi watu wangekuwa hawavai chupi zenye urembo. shanga ni urembo wa kutoka zamani sana.
mi ni me mkuu. ila mi najui ni urembo maana dhumuni lake ni kufanya mtu avutie na kupendeza.Hujui maana ya shanga weye acha tu. Ndo maana mnava kyupi kya maua utadhani ni leso ya kufunga kichwani. That is nothing ma dear. Shanga zina kazi yake, ile ni chachandu si urembo
Red Giant;mi ni me mkuu. ila mi najui ni urembo maana dhumuni lake ni kufanya mtu avutie na kupendeza.
Ahhhhhh binti kiziwi, nikujifanya usikii kweli ama umetia pamba masikioni,hujawahi kusikia kweli, inasemekana shanga inakata kiuno na kutengeneza shape etiMhhhh mi sijawahi kuvaa kabisa. Ila sina tatizo na wanaovaa. Natamani kujua kazi yake au ni urembo tu kama urembo mwingine? Cc. Wanawake wa humu mje mtupe experience.
pia kama weight alert.Ahhhhhh binti kiziwi, nikujifanya usikii kweli ama umetia pamba masikioni,hujawahi kusikia kweli, inasemekana shanga inakata kiuno na kutengeneza shape eti
nimeshindwa kuelewa kama nimependa shanga au mvaaji!
Mhhh ya kweli haya ndugu? Sijawahi kukaa na bibi au mashangazi haya ntayajulia wapi!Ahhhhhh binti kiziwi, nikujifanya usikii kweli ama umetia pamba masikioni,hujawahi kusikia kweli, inasemekana shanga inakata kiuno na kutengeneza shape eti
Mnazidi kumpa hasira Bwana Trump...
Hahah...Trump ndio kazidi kwa vituko yule mtu khaa!Kwa vituko wewe...lol!
Sa Trump kaingiaje kwenye mambo ya shanga!
pia kama weight alert.
Kwani siku hizi huvaagi mama?Aisee mbona unaipa sofa za uongo au unanitusi kijanja
sasa hicho kiuno cha kichaga nivalishe shanga unanitaka nini?Kwani siku hizi huvaagi mama?