Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Wewe enenda sawasawa na imani yako. Kama unaamini kuvaa shanga au cheni mguuni ni kugawa tigo endelea kuamini hivyo
Hivyohivyo kwa wanaoamini ni urembo
[emoji23]
 
Huu uzii ni wa Laana na umejaa uchafu unatakiwa ufutwe maramoja. .. !! La sivyo hata hii Jamiiforums italaanika ..!
 
Titty, joanah na miss natafuta....njoon mtusaidie aseee......hapa.......sisi vichwa vinauma hatuelewi kaa ni urimbwende au................
Mkuu ukiwaona fahamu wanapakuliwa nyuma hakuna mjadala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…