Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Mbona Arusha hawa wanawake wa kimasai wanavaa sana ki naona ni urembo tu, pia huwa napenda jinsi wanavyovivaa mabinti.
Ts their culture traditional custom bhas na nyie toboen maskio matundu makubwa by the way Mimi I don't judge anayevaa hivo kuna wanaovaa kma urembo kuna wanaovaa kutangaza wanayofanya so msilaumu watu don't judge bhana ts not fair
 
Mawazo yako tu! huu ni urembo, mie mwenye wife anapiga cha gold hua anapendeza kinoma noma yaani na kashanga kake kiunoni ka gold nako ... mubashara kwenda mbele
Wife atakuwa anakubeep ila wewe humpugii basi acha wanaojua kupiga wapige tu
 
Wanavaa kwa ajili ya urembo tu kama ambavyo wengine huvaa Shanga au pete za kawaida!
 
Mwanafa:"...mnaona shanga za miguu mnaita vikuku ingawa kwa wenye ufahamu ni potofu..."
 
Titty, joanah na miss natafuta....njoon mtusaidie aseee......hapa.......sisi vichwa vinauma hatuelewi kaa ni urimbwende au................
Kwanza hiyo maana ya kuvaa kikuku ndio nimeiona leo hapa kwa mleta thread

Ila mi nahisi ni moja ya urembo tu
Japokuwa binafsi sijawahi kabisa kufikiria kuvaa kikuku
 
Back
Top Bottom