rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,032
- 18,540
Rubii ndo faida ya elimu hiyo. Kuna siku unaweza toka na mwenye imani hiyo na akaku engeneer huko wanapoita goti halafu ukaenda kumshitaki.
Akajitetea kuwa wewe ndo umevaa alama yenye viashiria na kuwa wewe ni wa hivyo, katika kutafiti ukweli wakakuta yuko sahihi then hakuna mashtaka hapo but umeonja.
Kwa hiyo nawashauri watu kama wewe msi limit mind tafuteni kujua kwani elimu ndo kila kitu, maana hata mashoga wana alama zao. Dunia si salama Rubii
Upuuzi! et akajitetea nimevaa viashiria. Wapi imeandikwa wavaa vikuku waingiliwe nyuma?