Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Mwanamke anayevaa cheni mguuni au pete kwenye vidole vya miguu moja kwa moja akili yangu ananiambia ni muhuni kupitiliza
 
Wapakuaji mpo hapa
Hapa,..sasa Mnavyojifanya kushangaa ...kwani kupakuliwa n hatari jaman?[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Habari wana Jamvi

Kuna hawa Dada zetu unakuta wamevaa vicheni miguuni ambapo mtaani wanaita vikuku hivi huwa wana maana gani..?.Nakumbuka wakati nipo mdogo nishawa kuuliza ma brother wa kaniambia ati wanajiuza na akivaa miguu yote maana yake kwote kwote yaan mbele na opposite yake.Na akivaa mguu mmoja ,kulia means mbele tu na akivaa kushoto means jiran opposite yake.Nilipofika chuo nilikutana na hawa wadada wanaovaa hivi vikuku wakaniambia ati ni urembo tu.

So which is which ,sielewi naomba mniambie cz kiukwel hawa wadada nawaogopa sana ,yani hata akiwa mzuri vipi ...bahati mbaya zaidi kuna huyo mmoja ni mzuri anajitaidi mpaka ananiambia me hanisi ila
 
Yule Ritha Mlaki nmeshampigia sana puli enzi hizo kwa ajili ya vikuku vyake...mwenye namba yake naomba jamani.
 
Ni fasheni tu, ila wengi mitaani wakiona hivyo wanasema huyo demu maana yake analika kote kote, unageuza tu kama zile kaseti za zamani. Unachapa side A ukimaliza unageuza side B.
Eti kwa mfano lakini. Unaweza ukaruhusu wife au mwanao avae?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…