Kichaafulani
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 1,295
- 1,273
Unavaa kikuku pia?Hizo maana mnazileta nyie mnaoangalia ila nionavyo ni urembo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unavaa kikuku pia?Hizo maana mnazileta nyie mnaoangalia ila nionavyo ni urembo.
Hapana sijawahi mkuu na sitawahi.Unavaa kikuku pia?
Wazee wa 4G mpooo kuvaa kikuku ni ishara tosha ukiitaji 0713 unapewa tu kwasie watu wa pwani sasa sijui mitwana ya bara uko Mkuu joseverest nisaidie apoDu...aisee
😀[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Vidole kama Tangawizi[emoji119] [emoji119]
Hapana sijawahi mkuu na sitawahi.
Kwa sababu sijawahi kuvipenda mkuu.Kwa nn hutovaa huvipendi au?
Kwa sababu sijawahi kuvipenda mkuu.
Tupia mguu tuone ulivyopendezaNi urembo tu hakuna maana nyingine. Ni sawa na hereni, kipini,bangili na mkufu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku nilipo hamna hizo mambo mkuuWazee wa 4G mpooo kuvaa kikuku ni ishara tosha ukiitaji 0713 unapewa tu kwasie watu wa pwani sasa sijui mitwana ya bara uko Mkuu joseverest nisaidie apo
Basi utakua kicheche..Nikiona kikuku udenda unanitoka...sijui kwann
HeheheheheBasi utakua kicheche..
Si unajua vicheche kwa kuku[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] (no offense bro)
Eti kwa mfano lakini. Unaweza ukaruhusu wife au mwanao avae?Ni fasheni tu, ila wengi mitaani wakiona hivyo wanasema huyo demu maana yake analika kote kote, unageuza tu kama zile kaseti za zamani. Unachapa side A ukimaliza unageuza side B.