Habari wadau naomba nielekee moja kwa moja kwenye point, kumekuwa na tabia ya wadada wengi kupenda kuvaa cheni mguuni a.k.a kikuku bila kujua au kujua maana yake halisi
MAANA YA KIKUKU
Marekani na nchi nyingne za bara la ulaya walihalalisha sera ya ushoga na usagaji kiasi cha mashoga na makahaba kulipia mpka kodi watuapo huduma kwa kazi hiyo, hivyo basi baada ya kuhalalishwa kwa kazi yao bwana Tim Cliff,ambaye alikuwa ni mmiliki wa Casino ya Otanio huko New York City,alifikia uamuzi wa kuwafunga vikuku(vicheni)mguuni wafanyakazi wake ambao walikuwa wanafanya kazi shift ya mchana.
Cheni hizo ilikuwa katika mifumo miwili
1. Akivaa cheni moja ni kwamba anauza tu papuchi
2. Akivaa miguu yote miwili jua anatoa papuchi na 0714
kutokana na ubunifu wake huo casino mbali mbali zikaanza kuiga utaratibu huo.
swali; Je dada zetu wanajua maana hii ya kuvaa vikuku mguuni?au nao wanatoa huduma kama wenzao?