Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Achana navyo .vitu vingine vitakupa shida kuvielewa.
SIO KILA MWANAUME ANAYESUKA NYWELE NI SHOGA.
USIKARIRI.
 
Yani hizi mambo za vikuku mi naonaga ni umalaya tu.. tena wa standard gauge.. alaf balaa angalia hata wavaaji wenyewe ile appearanve yao..
Unakuta janammke limevaa kikuku mipete mi5 mkononi mikucha mirefu ya bandia.... shingoni ndio kavaa hizo choker zao,kama mmbwa

mavazi sasa kitaiti na crop top

hivi mtu wa aina hii utamwelewaje?
kuvaa kikuku ni signal ya umalaya tu hakuna urembo wala nini
 
Halaf wengi wao wanaovaa vikuku hata mavazi yao sio mazuri yaan yale yale yakushawishi ngono
 
Habari wadau naomba nielekee moja kwa moja kwenye point, kumekuwa na tabia ya wadada wengi kupenda kuvaa cheni mguuni a.k.a kikuku bila kujua au kujua maana yake halisi

MAANA YA KIKUKU
Marekani na nchi nyingne za bara la ulaya walihalalisha sera ya ushoga na usagaji kiasi cha mashoga na makahaba kulipia mpka kodi watuapo huduma kwa kazi hiyo, hivyo basi baada ya kuhalalishwa kwa kazi yao bwana Tim Cliff,ambaye alikuwa ni mmiliki wa Casino ya Otanio huko New York City,alifikia uamuzi wa kuwafunga vikuku(vicheni)mguuni wafanyakazi wake ambao walikuwa wanafanya kazi shift ya mchana.

Cheni hizo ilikuwa katika mifumo miwili
1. Akivaa cheni moja ni kwamba anauza tu papuchi

2. Akivaa miguu yote miwili jua anatoa papuchi na 0714

kutokana na ubunifu wake huo casino mbali mbali zikaanza kuiga utaratibu huo.

swali; Je dada zetu wanajua maana hii ya kuvaa vikuku mguuni?au nao wanatoa huduma kama wenzao?
 
Ngoja waje...hivi zile wanazovaa wamasai navyo ni vikuku?
 
Hizo vitu zimeanza kuvaliwa na wamisri tokea enzi za mafarao,india zinavaliwa tokea karne zilizopita,sasa unapokuja hapa na story zako za vijiweni usidhani humu kila mtu zuzu.
Halafu hizo cheni wenzio wanavaa kama urembo hayo mengine unayafikiria wewe na mabaradhuli wenzio.
 
Basi mi dada, mijimama mingi ya town inavaa miguu yooote, biashara nje nje..!! TiGoo
 
kwaiyo una maana cheni zilianza kuvaliwa Marekani tu na hao machangudoa si ndio!Tena Marekani yenyewe iliyoanza 1776,si eti eeeh. Mimi sijui chimbuko wala maana ya kuvaa vikuku au cheni mguuni ila kila nikisoma vitabu vyangu pendwa vya Alf Laylah wa Laylah nakuta wanawake wa bara la Arabia walishaanza kuvaa urembo wa vikuku mguuni na shanga za kiunoni toka karne ya 10 yani mwaka 1100,sasa wewe na kufikiria puani na kutolea mdomoni kwako unakuja hapa kuandika nyenyenye,do a research before coming here na baiskeli lako hilo!!
 
Kila kitu mnawaza ndivyo sivyo hebu wapeni break kumbuka hata bi mkubwa wako nae alikuwa kijana.Na alifanya hayo uenda, ni wakati tuu tuwape Uhuru wao ukipita wataacha.
 
My brodas, kila kiungo cha mwanamke ni pambo kuanzia nywele mpaka unyayo na ndio ule msemo ukaja "mwanamke ni pambo la nyumba"

Suala la vikuku wala lisikuumize kichwa utamaduni huo upo tangu na tangu huko Asia na kuna mdau kasema Misri, lakini pia ndugu zetu Wamasai na Wamang'ati wanavaa hata ukiangalia movies za kinigeria zile za vijijini utaona wanavaa mashanga kuanzia kichwan mpaka miguuni.

Huna haja ya kuleta habari za uongo, kama wewe hupendi mkataze manzi yako lakini wengine tunasuuzika macho na roho tukiwaona wamevaa. lol.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Habari wadau naomba nielekee moja kwa moja kwenye point, kumekuwa na tabia ya wadada wengi kupenda kuvaa cheni mguuni a.k.a kikuku bila kujua au kujua maana yake halisi

MAANA YA KIKUKU
Marekani na nchi nyingne za bara la ulaya walihalalisha sera ya ushoga na usagaji kiasi cha mashoga na makahaba kulipia mpka kodi watuapo huduma kwa kazi hiyo, hivyo basi baada ya kuhalalishwa kwa kazi yao bwana Tim Cliff,ambaye alikuwa ni mmiliki wa Casino ya Otanio huko New York City,alifikia uamuzi wa kuwafunga vikuku(vicheni)mguuni wafanyakazi wake ambao walikuwa wanafanya kazi shift ya mchana.

Cheni hizo ilikuwa katika mifumo miwili
1. Akivaa cheni moja ni kwamba anauza tu papuchi

2. Akivaa miguu yote miwili jua anatoa papuchi na 0714

kutokana na ubunifu wake huo casino mbali mbali zikaanza kuiga utaratibu huo.

swali; Je dada zetu wanajua maana hii ya kuvaa vikuku mguuni?au nao wanatoa huduma kama wenzao?
Nchi za Asia nazo.au umeangalia ulaya.
Kila Jambo linaweza kuwa tofauti na matumizi au maana.
Utamaduni wa vikuku kwa nchi ya Asia ni kama urembo kwa wanawake mfano India,nchi za kiarabu au kiujumla bara zima la Asia.
 
Back
Top Bottom