Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Mimi demu akiwa hana shanga napiga show kama kawaida.

Ila akiwa na shanga nafurahia zaidi.

Picha ziongezeke kwa wenye nazo picha.
 
Kama huzipendi unamwambia tu punguza basi mambo yote yanakua mubashara...
ila ubaya wa shanga upate bwana hajielewi azivute zikikatika zinamwagika kama ulezi[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…