Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Hivi hakunaga jukwaa la wakubwa tu humu jf... Maana inapoelekea jf kwasasa nadhani kama halipo hilo jukwaa basi lipo mbioni kuanzishwa

NB: sisi sote humu natumai ni wakubwa, ila tu kuna kile kitu wanaita kuvutiwa na jambo fulani au kupenda jambo fulani pana utofauti hapo miongoni mwetu.
 
Shangingi langu la tanga lilikuwa linazima taa halaf linakwambia chagua shanga kila rangi ina mambo yake utakayochagua ndio utakayopewa...Mungu ampe maisha marefu Naima uko alipo
Mkuu ushawai kuchagua nyekundu na kilikutokea nn
 
Mi nitaendelea kuamini kwamba mwana mke anayevaa vikuku miguuni ni muhuni na siwezi kumtongoza., wengi wanajiuza

Nimepata kuongea na dada mmoja na kunieleza maana yake halisi,

Kwamba akivaa kushoto mgooni inamaanisha anauza mbele tu,

Akivaa kulia hapo tigo express yourself

Akivaa miguu miwili maana pote ni useful anapauza

Kikuku ni kuliwa punga, kama kuku anavyo kula mpunga ndomana ikaitwa kikuku


silver-bauble-design-single-anklet.jpg
 
Back
Top Bottom