Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Duu kweli naamini maana hayo ndo matunda ya wale jamaa wanaodai wanauwezo wakurudisha wapenzi waliopotea, kuleta bahati, kumtuliza mume etc. Lets watch out
 
pdiddy bana thinking yako huwa inanifurahisha sana! umesahau mithali inasema 'mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa! afanya jambo la kuangamiza nafsi yake mwenyewe..'. sasa kama hata akili hana, anaacha mkewe nyumbani kwenda kuzini,nyota yake itafaa hata kukokea moto wa kuni kweli! ulimbukeni, unajiingiza kwenye moto na fire proof?

Nyie endeleeni mkishafanywa mazezeta mtamalizia kufanywa kondoo!
 
Yah ni kweli kabisa, nilikuwa kijijini kwa mama mdogo kuna binti yake mkubwa tu alishaolewa na kuachika
nikawa nalala nae chumbani ana mashanga mengi sana, nilipomuuliz alisema zina kazi zake, kafungia vidawa
vya kiuganga mle, sasa sijui inakuwaje zinafanya kazi, kazi kwenu wapenda shanga
 
Mkuu umesomeka na kueleweka nadhani vijana watauzingatia na kuacha tabia zao zote mbovu na kutulia na wenzi wao...... maana hata ukimchukua yule hamna kipya zaidi ya kuzidi kuliandika daftari(kitabu ) chako cha madhambi
 
msg sent kaka. tumekusikia na kukuelewa, wacha tupunguze kasi.
 
mmmh,umeyajuaje yote hayo?
 
Wanaiba nyota tena?me mbona ya kwangu sijawahi kuiona kwani inakaa upande gani?
 
Ndiyo maana waafrika hatuendelei ngó!

Badala ya kufikiria maendeleo na jinsi ya kujikwamua kwenye umasikini tunaanza kutafakari mbinu za uchawi wa kwenye shanga.

Kazi ipo.
 
Sijui nini sababu, ila wanawake wengi siku hizi hawavai shanga, na hata wanaume hawana time nazo.

Hili nalo neno......, MaY be coz w/ke wengi siku hizi wanavaa jeanz na vitop vya kubana... hizo shanga zitakaa wapi....? siku hizi wanavaa VIKUKU NA VIBATA....shanga ni old stories.....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…