Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Hizo shanga za mkeo ama...!

Sijawahi ona nyota zikaibwa... sasa huwa wanazipeleka wapi.... Kwenye galaxy mpya!?
mmmh,umeyajuaje yote hayo?Kabisa hasa shanga za nyumba ndogo na za kazi za nje. Wanakuwa wamezitengeneza kwa waganga wale wataalam wa maswala ya mapenzi ili kila mwanaume atakayempitia asifurukute,kila atakachoambiwa awe anasema ndio,zinakunasisha kabisa unasahau na mkeo unatelekeza hadi familia. Haya mambo yapo hujasikia watu wanaweka dawa uken au kipande cha nyma halafu unapikiwa wali na kipande hcho unapewa ule,matokeo yake unanaswa kiujumla.
Jamani JF.. very interesting.hzo nyota znakaa wap ktk mwili wa binadamu?
yapo dear sasa lazima yajadiliwe lolNdiyo maana waafrika hatuendelei ngó!
Badala ya kufikiria maendeleo na jinsi ya kujikwamua kwenye umasikini tunaanza kutafakari mbinu za uchawi wa kwenye shanga.
Kazi ipo.

Sijui nini sababu, ila wanawake wengi siku hizi hawavai shanga, na hata wanaume hawana time nazo.
Sijui nini sababu, ila wanawake wengi siku hizi hawavai shanga, na hata wanaume hawana time nazo.

Au hawajui kuzifunga?