Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Hata kama mdada amevaa huzioni lakini ukazipapasa kwa bahati mbaya, unapata mwili unasisimka na Adam anasimama. Hii ni d🙂🙂awa kubwa sana bahati mbaya wadada hawaelewi, sijui ni ukisasa? Acha bwana!
chachandu
huongeza hamu na kuleta nakshinakshi ktk mapenzi LIKE kama unazipenda na COMMENT chochote
Mzizi kavu, huyu kwanza kajiviringishia hizo shanga na huenda hajui maana yake pia nina mashaka hapo zilipo kama ni the right place (chiunoni)!
chachandu
huongeza hamu na kuleta nakshinakshi ktk mapenzi LIKE kama unazipenda na COMMENT chochote
Halafu huonyesha tofauti na chako pale uwanjani!
chachandu
huongeza hamu na kuleta nakshinakshi ktk mapenzi LIKE kama unazipenda na COMMENT chochote
Mkuu Young Master Ughaibuni kutafuta pesa nikipata pesa nitarudi bongo kuendeleza maisha asikuambie mtu nyumbani ni kuzuri kuliko Ughaibuni.Ila nyumbani kama huna pesa utakuchukia ile mbaya.Mkuu MziziMkavu. Sasa kama unayapenda umeenda huko ughaibuni kutafuta nini. Rudi Bongo ufaidi mautamu.
Halafu huonyesha tofauti na chako pale uwanjani![/QUOTE Ngekewa Umesha wahi kumpata Mwanamke mwenye shanga kiunoni?
Mkuu Young Master Ughaibuni kutafuta pesa nikipata pesa nitarudi bongo kuendeleza maisha asikuambie mtu nyumbani ni kuzuri kuliko Ughaibuni.Ila nyumbani kama huna pesa utakuchukia ile mbaya.
Maoni yenu yanatuchanganya wadau. Sasa gesi itoke mtwara ama isitoke? Toeni tamko!
(hiyo mishanga hapo mtu anaogaje atakatishe kiuno? Na anaikausha kwa drier ama? Manake haikawii kunuka uvundo!)[/QUOTE King'asti Gesi itoke Mtwara lakini Serikali iwahakikishie Wananchi wa Mtwara Maendeleo yao sio Maneno ya porojo tupu hayafai kutumiwa wakati wanaofaidika ni Matajiri na Viongozi wa Serikali. Walala hoi wanakufa na njaa. Kuhusu shanga inategemea huyo mvaaji shanga usafi wake endapo atakuwa anakoga na kuziosha hizo shanga mambo ni poa, lakini kama haogi hapo itakuwa kazi sana. Je wewe unavaa hizo shanga?