Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Mwenye kumuona mvaaji ndiye mwenye kutafsiri hasa kwa kuutumia muonekano wa mvaaji huyo,i.e mcharuko au la!Yet tafsiri zote za urembo na 071 bado ni applicable.
 
Habar wakuu,leo asbuh majira ya saa 12 nilipoingia bafuni nikakuta kitu kimedondoka chini,baada ya kukiangalia kwa makini nikagundua kuwa ni shanga,ambazo kwa kuziangalia tu nikagundua ni za KIUNONI,ila sasa mimi nikaziokota na kuziosha kisha nikazihifadh sehem salama KWANGU,
najiuliza nitumie njia gani sahihi ya kuhakikisha zile shanga nazikabidh kwa mwenyewe ambaye simfaham,je nitangaze au nipite chumba kwa chumba kuulizia mmiliki wa shanga zile?zoez hili nataraj kulifanya jioni au usiku maana ndo ntakua na wasaa.
naomba tushauriane jinsi ya kukabidhi SHANGA ZA WATU
 
Pita chumba hadi chumba ukiwa umezishika unaulizia mwenye nazo kiroho safi!
 
ukiuliza chumba kwa chumba haji mtu bora uziweke sehem ya kuonekana usubiri atakayekuja kuzichukua
 
zirudishe huko huko bafuni...ila hapa najiuliza wewe Bajabiri ni me au ke?,
kama ni me hilo bafu huwa mnatumia na ke?
loh kama ni hivyo nahisi huwa mnaokota vingi zaidi ya shanga
 
Last edited by a moderator:
Ukipita chumba kwa chumba tegemea kupgwa na mmiliki wa mke
 
shangaaaa....mbona kawaida tu mtafute umpe...yani kama mtu kaacha cheni vile.
 
Navyoona mimi tfsiri
halisi ya kwanini cheni imevaliwa mguuni anayo mvaaji mwenyewe!!
lakini pia inasemekana kuwa kitambo fulani hapo nyuma kuvaa cheni/shanga
mguu wa kushoto ni ishara ya kuhitaji kupitiwa kunako 'barabara ya
vumbi' ndo huku siku hizi mnaita tigo!! so wavaaji walifanya hivyo ili
'client' wanaoelewa wakikuta hivyo wasiulize ni swala la kufanya hilo
wanalolikusudia.,
Ila mtazamo wangu kwa hali ilivyo sasa naona hawa wavaaji wamegawanyka,
siriously kuna wanaovaa bado wakiashiria utoaji wa huduma hiyo! utakuta
kuna kajamii fulani ka wadada wapo ki mcharuko au kichanguchangu hivi
kama sio machangu kabisa kimuonekano wa juu hawajifichi! kuna wanovaa
wengine hasa hawa wadada wasomisomi kidogo waofisini wengi wao kama
mapambo bila kujali asili wala maana ya swalahilo, kuna wengine wanavaa
tu ilimradi hata hawaelewi ni kwanini wamevaa wanafata mkumbo tu!! so
ukweli halisi anaujua mvaaji!!

Mkuu nakuunga mkono,ni kweli asili ya cheni/shanga mguuni kwa wanawake ni kiashrio cha hiyo huduma haramu,yani ni kama vile ukiona kiatu kwenye nyaya za umeme ambayo ni ishara ya kuwepo kwa biznes ya madawa ya kulevya
 
Back
Top Bottom