Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

 
Nyani Ngabu umeinfluence maoni ya wengi humu.
Ila pamoja na kwamba sivaagi hiyo kitu, lkn naona mdada kapendeza. Ametokelezea kiafrica zaidi. LOL
 
Last edited by a moderator:
we nae mambo yako unayajua mwenyewe. sa kwanza hata hyo picha ni ya mbele au nyuma nwy pouw kila shetani na mbuyu wake. ILA KALE KADAWA BADO UNAKO? NAKATAKA.
 
LoL!!! Nakubaliana na NN, shanga zinapendeza zikiwa chache kama mbili hivi hata mpaka tano zikizidi hapo kwa wengine inakuwa ni uchafu. Dr hupendi gold chain kuning'inia kiunoni!?
ziwe chache kweli mwake,
ila gold kiunoni znapendeza kuangalia ila ukitaka touch, feeling, ile hammmm....shanga ziko juu
 
jamani me sielewagi nini maana ya shanga kiunoni na kazi zake haswa ila naskiaga ina shughuli yake maalum na pia inakuwaje mpaka watoto wadogo [ke] wavalishwe wakati shughuli iliyonayo ni ya kiutu uzima, je utamchukuliaje mpenzi wako unapomuona na shanga!!!!! you are welcome!!!
 
Hbr wanajf mwenzenu nina demu wangu na lengo tuje kuoana lakini kinachonishangaza mimi kila anapokuja kwangu kulala hanipi mpaka nizime taa ndiyo ananipa nisipozima taa sipewi na hata nikiomba mchana tena ndiyo kabisa nimejaribu kumuuliza anadai eti anaona aibu hivi kweli inawezekana?
 

kwani cheni, hereni, bagiri vina maana gani? na vina kazi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…