Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

mkuu kiukweli hayo ni mauchafu ya hali ya juu sana,mimi naskia kutapita bila kichefuchefu[/QUOTE kiogwe na namanyele Mnatoka Mikoa gani ya Tanzania nyie wote wawili washamba ?

mkuu mie natokea Mbeya,shanga zilikuwa zamani siku mengi yamejaa fungus,wengine tumeshazoea kulamba mwili wa mwanamke kwa kutumia ulimi,sasa hayo mashanga yalinata fungus nitanyonya vipi?
 
Nyani Ngabu umeinfluence maoni ya wengi humu.
Ila pamoja na kwamba sivaagi hiyo kitu, lkn naona mdada kapendeza. Ametokelezea kiafrica zaidi. LOL
 
Last edited by a moderator:
we nae mambo yako unayajua mwenyewe. sa kwanza hata hyo picha ni ya mbele au nyuma nwy pouw kila shetani na mbuyu wake. ILA KALE KADAWA BADO UNAKO? NAKATAKA.
 
LoL!!! Nakubaliana na NN, shanga zinapendeza zikiwa chache kama mbili hivi hata mpaka tano zikizidi hapo kwa wengine inakuwa ni uchafu. Dr hupendi gold chain kuning'inia kiunoni!?
ziwe chache kweli mwake,
ila gold kiunoni znapendeza kuangalia ila ukitaka touch, feeling, ile hammmm....shanga ziko juu
 
247548_519683181428843_177954520_n.jpg

"the gods must be crazy"
 
jamani me sielewagi nini maana ya shanga kiunoni na kazi zake haswa ila naskiaga ina shughuli yake maalum na pia inakuwaje mpaka watoto wadogo [ke] wavalishwe wakati shughuli iliyonayo ni ya kiutu uzima, je utamchukuliaje mpenzi wako unapomuona na shanga!!!!! you are welcome!!!
 
Hbr wanajf mwenzenu nina demu wangu na lengo tuje kuoana lakini kinachonishangaza mimi kila anapokuja kwangu kulala hanipi mpaka nizime taa ndiyo ananipa nisipozima taa sipewi na hata nikiomba mchana tena ndiyo kabisa nimejaribu kumuuliza anadai eti anaona aibu hivi kweli inawezekana?
 
jamani me sielewagi nini maana ya shanga kiunoni na kazi zake haswa ila naskiaga ina shughuli yake maalum na pia inakuwaje mpaka watoto wadogo [ke] wavalishwe wakati shughuli iliyonayo ni ya kiutu uzima, je utamchukuliaje mpenzi wako unapomuona na shanga!!!!! you are welcome!!!

kwani cheni, hereni, bagiri vina maana gani? na vina kazi gani?
 
Back
Top Bottom