nenda hapa kajionee mwenyewe https://www.jamiiforums.com/mambo-ya-kikubwa/462488-mtaani-kwetu-shangaaaa-rahaaa.html
hahha...huyo hafai mwana. gonga tuu wala sio wa kuoa
Hbr wanajf mwenzenu nina demu wangu na lengo tuje kuoana lakini kinachonishangaza mimi kila anapokuja kwangu kulala hanipi mpaka nizime taa ndiyo ananipa nisipozima taa sipewi na hata nikiomba mchana tena ndiyo kabisa nimejaribu kumuuliza anadai eti anaona aibu hivi kweli inawezekana?
Shanga na kuzima taa wapi na wapi?