Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Mkuu chunguza kwa nini. siajabu nusu ya k imeliwa na fangasi we hujui. Mtakula visivyoliwa.
 
Hahahahaaaaaaaaaaa jamani lol..... angalia usikute k ishaliwa fungi hiyo
 
Siku moja mshtukize katikati ya game unaimulika na tochi uone atafanyaje
 
Hbr wanajf mwenzenu nina demu wangu na lengo tuje kuoana lakini kinachonishangaza mimi kila anapokuja kwangu kulala hanipi mpaka nizime taa ndiyo ananipa nisipozima taa sipewi na hata nikiomba mchana tena ndiyo kabisa nimejaribu kumuuliza anadai eti anaona aibu hivi kweli inawezekana?

mbona title na maneno haviendani..
 
Watu tumekuja mbio kutokana na hicho kichwa chako cha habari; halafu ndani unatupa habari za kuzima taa!!

Kua makini mkuu, vitu vya kulia gizani sio vizuri, utamu wa hayo makitu ni muonane uso kwa macho!
 
halafu gizani ivoivo unazama chumvini....ukibabuka mdomo uanze kwenda kwa profesa maji marefu ati umerogwa!
 
Back
Top Bottom