Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

zinasaidia mtu kukua haraka, na kunenepa c unaonaga hata watoto wa kizaramo huvishwa. hii huita buster
 
we fuatilia tu wangu!
yani anauliza vitu vingi kuhusu ngono mpka nahisi anafanya utafiti!
yani mara bikra,mara uume mkubwa,mara tigo,mara sijui nini uuuuwih!yani ngachooooooka miimi!
BTW umeadimika shosti! upo?
Yalaaa Roho Yangu!! :help:... Duuu! Kwa jinsi hii itabidi tumsadie mwanajamvi mwenzetu aweze kufanikisha Thesis yake. Nipo shosti-dear..pilika za hapa na pale
 
Kiuno chake shanga. Vaa kionekane.
Tupia moja tu, nyingi ni uchafu
 
ah sanaa!yani anakuwa kwa kasi ya lile chapati la kichina zamani tulikuwa tunliweka kwenye maji ya chai lile!dah!

ha ha haaa kumbe umelikumbuka eeeh..tunaambiwa ni tiba sijui ya pressure, na magonjwa kibao...sijui limefia wapi lile likitu
 
Hapa ndio akili za Wadanganyika zilipo gota....what is SHANGA?.....gOD Forgive Us
 
Zamani shanga kiunoni kwamwanamke zilikua kama utambulisho,bwana harusi alikuwa anaambiwa ampapase biharusi kusikia kama shanga zipo basi anakua na uhakika kuwa alienae ni mwanamke. Baba wa bwana harusi yeye alikuwa anapiga ngoma nje wakati kijana wake akianza kugegeda kwamara ya kwanza .
Baba mtu anakua ashamwambia kijana kuwa atampapasa kuhisi shanga kiunoni kama zipo basi aingie katikati ,halafu nikipiga ngoma unasukuma kiuno chako pale Kati ,nikipigatena ngoma unarudisha kiuno nyuma. Baba hapa mtumzima dawa alikuwa anaongeza kasi ya mapigo ya ngoma kadri muda unavyo zidi ,BABA ONGEZA KASI!!! Basi mzee akisikia hivyo anaacha kabisa kupiga kale kangoma anakaweka mlangoni na kuondoka zake kimya kimya.
 
wazaramo wengine wanawavisha watoto wao wakiwa wadogo kutengeneza shepu na kiuno kizuri wanavyodai,unajua tena wenzetu kwa viuno na kuna makabila fulani huwa wanavaa rangi mbalimbali kama njia ya uzazi wa mpango kwa mfano rangi fulani kuashiria yupo kwenye hedhi, au yupo salama au ni siku za hatari so mume haitaji kuambiwa anajionea mwenyewe
 
:help:Huku kwetu ni kamba za kufungia Ng'ombe wakati wa kukamua Maziwa si watafiti husema kwamba ng'ombe hutoa maziwa mengi akifungwa kamba kisha akapigiwa Musiki ama mluzi ? hiyo ndo kazi ya shanga bwana pompompo watupu:A S kiss::tape:
 
Hapa ndio akili za Wadanganyika zilipo gota....what is SHANGA?.....gOD Forgive Us

jaman ikitokea umetaja jina la God au Mungu kwa kiswahl tumia heruf kubwa bana huyo ni zaid ya Mshua unajua.
 
Ndugu za wana jamvi kuna kitu kimekuwa kina nitatiza siku nyingi, kitu chenyewe ni mwanamke kuva shanga mguuni karibu na kifundo cha unyayo, sasa nimekuwa najiuliza sana maana nimesikia kwamba kila kitu mtu anafanya kina maana yake. Katika kuuliza kuna mtu mmoja akaniambia, sasa sijui kama nae ni shabiki wa tigo. Akaniambia mwanamke akiva shanga mguu inamaanisha anamaanisha hata tigo yake hutumiwa. Na alikuwa ana bonge la mpododo swali jingine je kuna uhusiano kati mpododo mkubwa na kugongwa tigo? Maana karibu wanawake wengi niliowaona wameva hivyo ni wenye big mpododo, lkn sisemi wote ni baadhi ya hao wengi. Naombe jibu wanajamvi ili namimi nijue.
 
Ndugu yangu hata mi nasikia watu wengi wakilisema hilo ila sasa nashindwa kufikia hitimisho as unajua tena "NO PROOF NO RIGHT TO SAY"soooo i zip my mdomo :tape: :tape: :tape: :tape:
 
Lol,,....poor research

sijui ndo maana nimeuli ili km nikweli nijue km sikweli tuzibe midomo maana kati wengi jambo haliharibiki. mbona umehitimisha mapema vipi na ww unavaa nini????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…