Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada


Shanga ni urembo na kivutio ktk mwili wa mwanamke,zipo shanga za rangi tatu zenye maana nyingine urembo tu,shanga nyeusi maana yake mwanamke yuko tiyari kufanya gwijigwiji ila uwanja haujafyekwa so uchague moja mpira uchezwe hivo au mfyeke kwanza,nyeupe yuko safi hamna kizuizi chochote,nyekundu uwanja una mafuriko ya maji so hakufai,pia idadi ya shanga kimstari humaanisha round ya magoli yanayohitajika,kama anahitaji goli mbili atavaa shanga 2 akiwa free anataka bao 2,n.k.rangi nyingine na cheni ni urembo tu wa kawaida mkuu
 
mi cizifagilii kabisa mapenzi ni feelings na saikologi yako una ridhika tu
 

umeeleza poa sana na ukiona shanga nyekundu yuko mwezini huyo mtu, ukiona nyeupee ujue mambo yako safi waweza pita, kuna za njano, blue, gold wanao jua watuambie, ingawa mimi siyo utamaduni wangu nimejifunza huku huku pwani
 
Shanga kiunoni ni uchawi tu kwani kuna mademu wengine wanavaa dawa za kuiba waume za watu kwa kuvaa hizo shanga.
 

Rangi nyingine je?
 

Sasa ukikutana na aliyevaa shanga 12 kama kwenye picha hapo juu?
 
Daaah, halafu sijawahi kukutana na haya mahanjumati aiseee...

Nilishakutana nae, kabla hajaanza kuzivaa na baada ya kuanza kuzivaa aliporejea kutoka kwao Tanga. There was no noticeable difference....
 
Wakuu....kwema?

Hivi mwanamke akivaa shanga kiunoni, ni ishara ya nini? Je, anataka nini?

Nimesikia sikia uvumi kuhusu maana ya shanga kiunoni, nimeona nije jikoni huki kabisa nipate mlo murua!

Tuelezane.

Usipende kuingia jikoni, utaungua kwa mkaa au maji ya moto! Back to topic!
Ni kwamba shanga kiunoni kwa mwanamke haimaanishi chochote zaidi ya siku za menstruation, kutaka tendo la ndoa, ufundi katika tendo.
Labda nimekujibu, kama sijakujibu nisamehe, leo nimekesha nalewa!
 
Jamani shanga zina raha yake haswa kama mtoto una kiuno na unajua kukitumia... sasa hizi hutaka mapokeo kwa mwenzi wako sio anazikodolea macho tu. Wapi mkuu Excel aje maana yeye ni exipati wa hizi ndude lol
 
Last edited by a moderator:
Mara ya kwanza kuziona nilitoka nduki nikajua ndio uchawi wenyewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…