Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,134
Mbona hakirembwi sasa!!!!??????
Sita hazitoshi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hakirembwi sasa!!!!??????
Sita hazitoshi?
Mmmmmh nyeusi zote si itakuwa ni msitu kwa mujibu wa maelezo ya hapa!!!!!!!
Ndio umeamua kunitangaza?
Dawa yako inachemka!!!!
Ukiileta dawa hakikisha hujavaa red shanga tafadhali
HIVI MADEMU WAKICHAGA WANAVAAGA SHANGA KWELI....nataman kukutana namchaga anaevaa shanga
Wakuu....kwema?
Hivi mwanamke akivaa shanga kiunoni, ni ishara ya nini? Je, anataka nini?
Nimesikia sikia uvumi kuhusu maana ya shanga kiunoni, nimeona nije jikoni huki kabisa nipate mlo murua!
Tuelezane.
kweli ni urembo, picha ya pili ni nzuri...😛hoto:
Kumbeee eeeh haya sasa kumbe shanga na bangili vinasaidiana kuboost nyeg*
NATAKA NIYEYUSHE HERENI ZANGU NITENGENEZE MOJA YA DHAHABU YENYE AFYA
ushauri wadau ile nilipewaga na maama hainitoshi tena
Mkuu kitambo, kwema?
wat,this kiuno looks familiar...pic umeitoa wapi eti
Tujuze we umesikia nini? Ili tusirudie kile unachokifahamu
Asante sana Kiongozi, niko salama, naona kajomba umekaondoa, umerudi kama zamaniHapa salama tu, sijui wewe?
Umechelewa kunishauri, nakaribia kustaafu...lUshauri
Anza kuvivaa
Asante sana Kiongozi, niko salama, naona kajomba umekaondoa, umerudi kama zamani