Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

NATAKA NIYEYUSHE HERENI ZANGU NITENGENEZE MOJA YA DHAHABU YENYE AFYA

ushauri wadau ile nilipewaga na maama hainitoshi tena
 
Wakuu....kwema?

Hivi mwanamke akivaa shanga kiunoni, ni ishara ya nini? Je, anataka nini?

Nimesikia sikia uvumi kuhusu maana ya shanga kiunoni, nimeona nije jikoni huki kabisa nipate mlo murua!

Tuelezane.

Tujuze we umesikia nini? Ili tusirudie kile unachokifahamu
 
NATAKA NIYEYUSHE HERENI ZANGU NITENGENEZE MOJA YA DHAHABU YENYE AFYA

ushauri wadau ile nilipewaga na maama hainitoshi tena

Usiangaike kuyeyusha hereni zako.
Nitakukununulia uipendayo
 
Ukizi Chezea Zina Imba Kama Gita Mbona Mpaka Zembwela Alisha Zi Imba Izi Mpenzi Gita !|
 
Eti ni chachandu!!! Ila sasa huwa hazina mpangilio? Wengine wanavaa zigo, wengie chache sasa kipimo ni kipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…