Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

jamii inachukulia ushanga like uhuni ila ni urembo mzuri wamasai wanapendeza sana
 
Hayo mawazo mabaya hayana nguvu kwa sasa mwanamke kuvaa shanga ni part ya urembo wake tu na anaweza vaa mguu wowote hakuna maana yoyote mbaya mambo yamebadirika sana nw days.,
 
to me sioni kama ina shida ni urembo kama urembo mwingine
 
Ni kweli yamebadilika hii kitu inatumiwa mpaka na watu wa bara siku hizi
Hayo mawazo mabaya hayana nguvu kwa sasa mwanamke kuvaa shanga ni part ya urembo wake tu na anaweza vaa mguu wowote hakuna maana yoyote mbaya mambo yamebadirika sana nw days.,
 
kwani hao wamama watu wazima hawagawi ama unazuzuliwa na u dc,rc,ceo,mps,ps wao?make huku mitaani tunawaona kibao tu wanageuzwa na viserengeti boys kama kawa
 
Ni kweli yamebadilika hii kitu inatumiwa mpaka na watu wa bara siku hizi

Kweli kabisa ulizungumzalo..yani limepitapita mpaka tumeelewa.. kwa hiyo kumkuta mwanaume mzima amekaa anaanza kuzungumzia shanga ya mguuni kwa mwanamke kwa sasa ni kupoteza muda tu..tuache tu wajirembe..kwanza kizazi chenyewe cha sasa nani atakuelewa na mambo ya utandawazi haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…