Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

10d4fd0fde0667129817636e8dbd1b63.jpg


Mtoto huyo

She deserves it.
 
kila mtu na fikira zake jamani.yani kama mimi hata nikiona tu kijidude kimoja tu cha shanga vile vigololi vidunchuuu.,akili inahama kabissaaaaaaaa
 
Kuna Bwana mmoja baada ya kuwa na nyeti ndefu sana aliwekewa RINGI na daktari ili asivuke eneo au urefu unaobaki nyuma ya ringi. Hata huo ni ulembo pia. Wengine ati wakivaa ushanga ndo kiuno kinakaa vizuri. Ni urembo mzuri kama mume (mwezi/mpenzi) wako atapenda; na kinyume chake pia ni urembo wa kishamba na usiofaa kama Mume (Mwezi/mpenzi) wako hatapenda kitu hizo. Maana hapo anapaona mmoja mmpendanaye kama mke na mme tu. Ukiona mke wako anavaa ushanga na wewe huupendi ujue kuna mwingine anauona na kuupenda! Wapo wanaojiremba kwa kuchora tatuu sehemu za siri (kama kachorwa na mtu mwingine basi hizo sehemu siyo za siri)
 
African-Ankle-Bracelet-1024x665.jpg


Suala la urembo kwa sisi wanawake linjumuisha mambo mengi sana kuanzia mavazi na hereni, vishaufu bangili vidani na makochokocho mengine.

Siku za karibuni kumeibuka mtindo wa wanawake kuvaa vikuku yaani cheni za miguuni. jambo hilo limekuwa likipigiwa kelele na baadhi ya watu wenye mrengo tofauti wakihusisha jambo hilo na tabia zisizofaa.

Lakini cha kushangaza nimewahi kuona baadhi ya wabunge wanawake na viongozi wa kike serikalini tena wenye mamlaka makubwa wakiwa wamevaa vikuku tena wengine walipata hata fursa ya kupiga picha na mkuu wetu na vikuku vyao.

Ninachofahamu mimi, bungeni ni mahali ambapo mavazi yanazingatiwa sana, na ninaamini wengi wetu tumewahi kushuhudia baadhi wabunge wakitolewa nje kwa sababu ya mavazi yao kuonekana kwenda kinyume na matakwa ya bunge, lakini pamoja na jamii huku nje kuwahukumu wanawake wanaovaa vikuku kama watu waliopotoka kimaadili, lakini kwenye eneo hilo la bunge inaonekana jambo hilo limepewa Baraka.

Sasa kwa kuwa suala la urembo kwa wanawake linaenda na wakati, hivi sasa tumerudi Kiafrika Zaidi, na sasa urembo wa shanga umechukua nafasi. licha ya shanga kutumika kama chachandu ya kunogesha mapenzi kwa kuvaliwa kiunoni na wanawake, lakini kwa miaka mingi urembo wa shanga umekuwa ukitumiwa na waafrika wake kwa waume katika kujipamba.

Mfano mzuri ni kwa Wamasai ambao kwa miaka mingi wamekuwa wakijipamba kwa shanga wake kwa waume na wamekuwa wakipendeza haswa.






Sasa miye hivi karibuni nimeamua kujipamba Kiafrika Zaidi kwa kutupia urembo wa shanga mwilini kiunoni hadi mguuni.

Sasa sijui wenzangu mtanionaje?


CC:
miss chagga, miss neddy, miss strong, Karucee, MankaM, DEMBA, Munkari, tinna cute, Tina, Paloma, sister, Ennie, Arabela, Preta, farkhina, Asprin, Mentor, watu8, charminglady, mwekundu, Fixed Point, Ruttashobolwa utafiti, Tyta, Kaunga, Neylu

Huwa nafikiria kua ni malaya mbwa
 
Kwani hiyo picha ya mguu wenye shanga unadhani ni ya nani

Mbona wenzio umeweka full foto wewe ukaweka ka mguu tu, tena kamoja? assessment inatakiwa ifanyike holistically. Tupia picha nzima-nzima tena nyingi nyingi tukupe maksi za maana!
 
Back
Top Bottom