Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

hivi unajua wewe mzuri...?
attachment.php

Haha changa la macho
 
Najua fika Wewe utakuwa mzibua mitaro au fundi vyoo ,biashara matangazo.nikikufuma sikuachi Lazima nile choo
 
Huu uzi umenikumbusha mdada mmoja mmbongo kwenye party hivi karibuni. Alikuwa amevaa shanga kama hizi (picha ya kwenye post # 1) miguu yote na mikononi pia gauni lake lilimkaa vizuri sana pia alikuwa na kilemba cha kukata na shoka. Huu wimbo kila ukipigwa alikuwa akiinuka kwenda kuucheza na alikuwa akiucheza vizuri sana. Waalikwa wengine walipomshtukia kwamba anaucheza wimbo huu vizuri sana basi ulikuwa unaombwa kila mara ili wamuone tu huyo mrembo akifanya vitu vyake, na njemba wengine walikuwa wakienda kumuomba wacheze naye.




Have a great weekend 🙂🙂🙂
 
Last edited by a moderator:
Kuna uhusiano mkubwa sana kati ushanga mguuni(kikuku)...na utoaji wa 0714....sitaki maswali....
 
Mama weee...kumbe Zinduna nawewe unavaa kikuku....mtumeeee.....astaghfilu...lah...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom