Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,553
- 2,380
naitaji unijibu je kati ya vazi na viashilia vp vilianza? nadhani utanijibu vazi, xx kama utanijibu ivyo kuna ubaya gani wanawake kuvaa ilo vazi au wakati lilikuepo kabla ya viashilia na je unausibitisho gani km ukivaa kikuku basi ww unatabia chafu sikatai kila mtu anazumuni la vazi lake,l lakini sio kila anayevaa ivyo bc ni mkosefu, pili umezungumzia padri kwa nn avai kombati,xx mm nakujibu kati ya vazi la padri na mwajeshi yote ni mavazi tofauti yake aina ya sare wanazo zitumia na sare aziusiani na tabia ya mtu,kwa mfano mbona tunasikia hao wanaovaa hayo mavazi wengine wanatoa, na wengine wanaingiza je utasemaje hapo kuhusiana na mavazi yao, tunaludi palepale vazi sio tabia ndugu tabia ni mtu mwenyewe, vp kuhusu mlegezo?
Suala linabaki lile lile ndio maana kuna dress code, sitegemei kukumta mama yako mzazi na sketi fupi yenye mpasuo na kikuku hata siku moja.