Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Mimi pia napenda avae mchanganyiko(Charanga) Ila madada wa sasa wengi hawavai tangu waige uvaaji WA suruali na vitop
 
Mi ninavyojua, akivaa kushoto maana yake ni muuza k, au hata kama hauzi, hana noma. Akivaa ya kulia anatoa ndogo. Akivaa Miguu yote ye anacheza miguu yote
 
Guys jamani naombeni niwaulize hasa wanaume eti utamuonaje mpenzi wako akivaa cheni ya kiunoni unamchukulia ni changudoa au hajatulia au swaga? Naomba kujuzwa tafadhali. ��
 
napenda sana kukutana na iyo kitu kwa maana kwanza ukikuta kavaa cheni ujue anakujali na kukupenda alafu kajianda kwa ajili ya kupiga mzigo kwangu ni zaidi ya shughuli
 
kwani mal.ya ndo wanavaaga cheni kiunoni jamani? wengine ndo starehe zetu usipovaa unakua kama hujatimia vile
 
Back
Top Bottom