Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

me navipenda vikuku , hzo maana za cjui kugawa tigo or kuwa available wanazitoa wapy jmn?,mana nishawahi pigwa ban kuvaa nikaacha but moyo unapenda bado

vaa bana,,, mwanamke urembo........vijiwe vinapotosha walume wengi kweli....
 
Vikuku
images
Vikuku2.JPG
wa+kisuuuuuuuuuuuuuu.jpg
maguuu.jpg

hahahaha Mkuu Tyta hapa ulitisha sana... Haya makitu ndio ugonjwa wangu kabisa, nikishakula Windhoek zangu kadhaa nikamwona mdada amevaa hicho kitu akili inaniweuka kabisa teh teh
 
Last edited by a moderator:
Hivyo ni urembo tu kama cheni shingoni ama bracelet mkononi....hizo tafsiri za mtaani.
 
Hivyo ni urembo tu kama cheni shingoni ama bracelet mkononi....hizo tafsiri za mtaani.

Vinamaana yake kubwa tu,sema kwavile wengi huvaa kwa kuiga bila kujua tafsiri yake ndio maana husema ni pambo tu kama mapambo mengine
 
Nilisikia Mwana F,a Kwenye Wimbo Wake Mmoja Hivi, Si Mnacheki Shanga Za Miguu Tunaita Vikuku Ingawa Kwa Wenye Ufaham Ni Upotofu, Sasa Sijajua Upotofu Anaouzungumzia.
 
kuvaa miguu miwili haina shida...ukiona kavaa mguu mmoja tena wa kushoto huyo anatoa mambo flani..ni alama yao

kuna watakaopinga na wakaweza kuwa right...kwamba wengine huvaa tu..lakini mimi nikijua kutoboa sikio kwa mwanamume ni alama ya kuwa bwabwa then siwezi toboa hata kama napenda!!!

Ya nini kujiweka katika mazingira hatarishi hata kama uko free kufanya unavyotaka?
 
Vinamaana yake kubwa tu,sema kwavile wengi huvaa kwa kuiga bila kujua tafsiri yake ndio maana husema ni pambo tu kama mapambo mengine

My dear your definition of life shouldn't be someone else's definition....!! Wengi wanavaa kama urembo...
 
My dear your definition of life shouldn't be someone else's definition....!! Wengi wanavaa kama urembo...

I'm agree with u on that,but the founder's meaning is the follower's meaning.

U may have your own purpose of wearing it,but still the 1st meaning stands.

"Analyse"
 
Naleta Uzi Huu Maksudically Nikijua Kuwa Vijana Wengi Wa Kiume Na Wa Kike Wa Kizazi Cha Dot Com Hili Hawalijui Hivyo Kupelekea Wao Kutofahamu Na Kuharibu Maana Halisi Ya Shanga Za Kiunoni. Bibi Zetu Walikuja Na Mtindo Huu Wa Kuvaa Shanga Za Rangi Mbalimbali Kiunoni Kama Ni Njia Ya Mawasiliano ( Non Verbal Communication ) Kwa Akina Babu Zetu Na Haswa Haswa Ktk Tendo La Ndoa. Hivyo Dada Zangu Wa Kileo Hebu Pateni Kufahamu Hizi Shanga Za Kiunoni Na Mdumishe Mila Hizi Za Mabibi Zenu Kwani Kwa Kiasi Fulani Zilirutubisha Mno Suala La Kimahaba Na Kimapenzi Kwa Akina Babu Zetu.


  • Shanga Ya Kijani...Ikivaliwa Hii Kiunoni ilikuwa Inamaanisha Kuwa Leo Nipo Tarehe Ya Kubeba Mimba.
  • Shanga Nyeusi... Ikivaliwa Hii Inamaana Kuwa Sasa Nakaribia Kuingia Ktk Siku Zangu Za Hedhi.
  • Shanga Nyekundu... Ikivaliwa Hii Ilikuwa Inamaana Kuwa Sasa Nipo Ktk Siku Zangu Za Hedhi.
  • Shanga Nyeupe...Ikivaliwa Hii Ilikuwa Inamaana Kuwa Sasa Nimemaliza Siku Zangu (MP) Na Mechi Ruksa.
  • Shanga Ya Bluu... Ikivaliwa Hii Ilikuwa Inamaana Kuwa Mume Wangu Leo Sijisikii Kufanya Na Tupumzike.

Ni Matumaini Yangu Kuwa Kwa Kiasi Fulani Dada Zangu Wa Kizazi Hiki Cha Dot Com Mtakuwa Mmenufaika Kama Siyo Kufaidika Na Ufafanuzi Huu Lakini Siyo Nyie Tu Dada Zangu Bali Naamini Kabisa Hata Vijana Wenzangu Wa Kiume Wa Ze Dot Com Generation Nanyi Pia Mlikuwa Hamjui Ila Kuanzia Leo Mtakuwa Mnajua Sasa Hizi Shanga Na Matumizi Yake.
 
Kwa vipicha havipo??? Tuwekee vipicha ndugu ili iwe vyepesi kuelewa. UKIWEKA PICHA ITASAIDIA KUWEKA KUMBUKUMBU VIZURI
 
Ujumbe umefika mkuu, bahati mbaya hiki kizazi cha akina Lulu hawavai shanga!
 
Back
Top Bottom