Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Unaijua kazi ya shanga lakini au basi tu? Kama unajua nipe kazi 5 za shanga kwenye uwanja wa fundi seremala ndo nitajua yaliyomo yamo au hayamo.

Ha ha vaeni bhanaa zile hata ukishusha pumzi nzito mkono utabakia pale kiunoni hiyo itapelekea mizuka kludi upyaaa kwa wote
 
wanaume wa siku hizi ukiwavalia shanga wanakuona malaya,labda uwavalie cheni ya Gold au silver ndiyo kidogo heshima itakuwepo.

Haya Mambo Yenu Ya Kila Kitu Kuiga akina Rihanna Ndo Yanayo Waponza.
Mtoto Wa Kike Tupia Mkanda Mmoja Au Miwili Ya Shanga Za Asili Kiuno Kipendeze.Hayo Mambo Ya Cheni Waachie Hao Hao Ndo Utamaduni Wao.
Sio Shanga Ndo Zinazokufanya Uonekane Mshamba Ni Wewe Mwenyewe.Hata Ukivaa Cheni Kama Ni Mshamba Utabaki Kua Ni Mshamba Tu.
 
sawa mkubwa,ila ndiyo muwe mnajua kuzitumia siyo tunavaa mnazikodolea macho tu.
 
Shanga ndo mpango mzima,hayo macheni ni umalaya tu.Et analionesha makusudi.

Halafu kuna hili la upo mbali na mpenzi,but siku ya kwenda kumtembelea unamkuata ameanza kuvaa cheni anakuwa anamvalia nani?
 
Binafsi navipenda kuliko kawaida, kwa upande wa kabila la mamangu ni tamaduni kwa mtoto wa kike kuvaa shanga za kiuno zisizopungua 6 then miguuni vikuku viwili, Kimoja kila mguu. I LOVE THEM BADLY!!
 
Hiyo c isue ila kuna mmoja anavaa chen kiunoni kanonana kinoma
 
Wamasai kule vijijini ni ngao yao inavaliwa nusu ya mguu lkn hapa mjini sijui ni mazoea kutoka kijijini mm sijui
 
Yani nimetoka kukiona sasahivi huko nje,kavaa mguu wa kulia.Demu mwenyewe mkareeee halafu ana kijungu na amechora tatoo ya star kwny shingo.Ni balaa ati!
 
Mimi navipenda kweli hivyo vikuku ila nasikia tafsiri yake si nzuri so naogopa kuvivaa. Ila uwe na guu lako nzuri ukiweka hiko kicheni lol unanoga sana.
 
Back
Top Bottom