Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
your real African mkuuu....nimependa sana post yako well said
Dah hii post naisoma nipo kwenye daladala, naona noma ki scroll chini kuna picha za shanga, abiria wananichora. Nikifika ghetto naicopy link namtumia mama totoo.
Shanga kwa sisi wazee haikua tu urembo bali ilitumika kutoa taarifa za mabadiliko ya kimwili kwa mwanamke kama rangi nyekundu ilitumika kuonesha kua manzii iko kwa siku zake au Bibi analia, na rangi nyengine zilitumika kuonesha kua mwanamke amemaliza siku zake hivo unaeza kuendelea na mchezo kwa raha mustareheeee
mnajua kuzitumia au basi.tu mnatupa lawama..... sister
Hilo sio la kuuliza mkuu.ebu mvalie siku moja boy wako uone jinsi atakavyokupagawisha.mimi wifi yako bila ya kunivalia hii kitu sijisikkii raha kabisa na ua natamani hata niame kitanda.Naipenda sana hii kitu na istoshe nina utaalamu wa namna ya kucheza nazo
View attachment 238166
Husifanye mchezo na hii kitu mkuu.ukimpata mtaalamu kama mimi unaweza kumwaga lita tatu za maji bila ya kujijua
mweeeh,, huku kwetu wala dushe hazishtuki tukiziona hizo makitu, full kiloriti,eti mikanda miwili
umekua mganga
chen moja kiunoni mchezo umekwisha
your real African mkuuu....nimependa sana post yako well said
Nakuapia huyu kijana kama ana muda tokea abalehe hafiki miaka mitatu....hawa tunawaita broiler wa week mbili!
Hata hao wanaume wenyewe wanajuwa hata kuzitumia basi;