Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,097
Imekuwa Ni Kawaida Kwa Wanawake Walio Wengi Kupenda Kuvaa Shanga Kiunoni Kama Urembo,na Wengne Wakishawishiwa Na Waume Zao. Leo Nataka Nitoe Siri Ya Kiroho: Kuwa 99% Ya Shanga Zinazouzwa Zimeunganishwa Na Nguvu Za Giza Yakiwemo Majini Mahaba, Kwani 99% Ya Shanga Izo Zinatengenezwa Na Waganga Wa Kienyeji, Au Wauzaj Wanazipeleka Huko Ili Kunuiziwa Mapepo. Na Kutamkiwa Maneno Kama Vile: >atakaevaa Shanga Izi Awe Tasa Asizae,>atakaevaa Shanga Izi Asiwe Na Hamu Ya Kufanya Ndoa Na Mume Wake,bali Majini,>atakaevaa Shanga Izi Nyota Yake Ya Mafanikio Ipotee. Na Mengne Mengi. Ninawashauri Akina Dada Kuwa Makini Na Hilo Wanawake Wengi Wamefungwa Thamani Zao. Ni Vizur Kama Unataka Kuvaa Shanga Uzipeleke Kwa Mchungaji Ziombewe Kwa Sbb Zinamuunganiko Mkubwa Sana Na Kuzimu, Kwanza Angalia Mahali Unaponunua Pakoje?,kwa Nani? Mwangalie Anaeuza Na Vitu Vingine Alivyonavyo Hapo Utaona Vinafanana, Kuweni Makini