Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Imekuwa Ni Kawaida Kwa Wanawake Walio Wengi Kupenda Kuvaa Shanga Kiunoni Kama Urembo,na Wengne Wakishawishiwa Na Waume Zao. Leo Nataka Nitoe Siri Ya Kiroho: Kuwa 99% Ya Shanga Zinazouzwa Zimeunganishwa Na Nguvu Za Giza Yakiwemo Majini Mahaba, Kwani 99% Ya Shanga Izo Zinatengenezwa Na Waganga Wa Kienyeji, Au Wauzaj Wanazipeleka Huko Ili Kunuiziwa Mapepo. Na Kutamkiwa Maneno Kama Vile: >atakaevaa Shanga Izi Awe Tasa Asizae,>atakaevaa Shanga Izi Asiwe Na Hamu Ya Kufanya Ndoa Na Mume Wake,bali Majini,>atakaevaa Shanga Izi Nyota Yake Ya Mafanikio Ipotee. Na Mengne Mengi. Ninawashauri Akina Dada Kuwa Makini Na Hilo Wanawake Wengi Wamefungwa Thamani Zao. Ni Vizur Kama Unataka Kuvaa Shanga Uzipeleke Kwa Mchungaji Ziombewe Kwa Sbb Zinamuunganiko Mkubwa Sana Na Kuzimu, Kwanza Angalia Mahali Unaponunua Pakoje?,kwa Nani? Mwangalie Anaeuza Na Vitu Vingine Alivyonavyo Hapo Utaona Vinafanana, Kuweni Makini
 
kwahiyo wale wamasai huwa wanapeleka kwa waqganga wa kienyeji......

siu izi wtu wanavaa cheni though
 
Imekuwa Ni Kawaida Kwa Wanawake Walio Wengi Kupenda Kuvaa Shanga Kiunoni Kama Urembo,na Wengne Wakishawishiwa Na Waume Zao. Leo Nataka Nitoe Siri Ya Kiroho: Kuwa 99% Ya Shanga Zinazouzwa Zimeunganishwa Na Nguvu Za Giza Yakiwemo Majini Mahaba, Kwani 99% Ya Shanga Izo Zinatengenezwa Na Waganga Wa Kienyeji, Au Wauzaj Wanazipeleka Huko Ili Kunuiziwa Mapepo

Utafiti huu kafanya nani? kama ni wewe tupe proof
 
Wakuu habari zenu,

Msema kweli ni mpenzi wa MUNGU, jamani mimi pindi nizionapo shanga zikiwa zimevaliwa kiunoni (aidha na mabinti au wanawake) hujisikia burdani sana maana huwa nahisi msisimko wa ajabu na mapigo ya moyo huenda kasi na hata kama nitakuwa na msongo wa mawazo basi nikiziona tu stress kushineh. Wanawake vaeni shanga jamani mtusisimue wapenda shanga na sio mwanamke unakuwa na kiuno cheupe kama changu loh.
 
Back
Top Bottom