Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Kwi!kwi!kwi! Tuoneane huruma jamani mbavu zinauma
Guu unalo lakini?maana wengine kama kimening'inizwa kwenye kamba ya kuanikia nguo.[/QUOTE]
 
Habari zenu wanajamvi hususan wadada!

Nimekuwa nikikutana na wadada /wamama tofauti wakiwa wamevaa vicheni miguuni mwao,nasikia vinaitwa vikuku.

Bila kupoteza muda ningeomba kujzwa vinamaana gani?na kwanini kuna baadhi ya wadada wanavivaa kwenye miguu yao ya kulia na wengine miguu ya kushoto?

AHSANTENI!

Kwa upande wangu navaa kama urembo miguu yote haina maana yoyote wala sivai nguo fupi ili vionekane la hashaaaaaa!! navaa pete kidole cha mguu sio kwa maana yoyote ni urembo tuu kama kawaida ya kuva bangili na cheni...
 
Ndio nataka nijue vina maana gan?pia nijue vinachukua nafasi gani ktk mapenzi coz najua masuala mengi ya urembo mnayoyafanya wadada lengo lenu huwa nikuwavutia wanaume,je kipi kinachomvutia mpenz wako?Na je faida yake nini?
khaaaa vikuku ndo vinakukimbiza hadi kuanzisha uzi......
 
Ndio nataka nijue vina maana gan?pia nijue vinachukua nafasi gani ktk mapenzi coz najua masuala mengi ya urembo mnayoyafanya wadada lengo lenu huwa nikuwavutia wanaume,je kipi kinachomvutia mpenz wako?Na je faida yake nini?
Hadi sasa katika majibu yote hayo hujapata maana??
Basi toa maana yako wewe
 
Meanings are socially constructed...

Napenda sana kuvaa cheni mguuni lakini kila nikiomba opinion ya mume wangu anakataa kata kata...

Sasa nina rafiki wa kiganda aliniona siku moja nimetupia pete nyingi vidoleni mikono yote miwili...

Huwa tuko free with each other akanambia NK hizo pete zinakufanya uonekane cheap...hivyo ndio waganda wanavyo judge wanawake...nilicheka saaana....

Nikamwambia pete Tz siyo issue ; issue uvae kikuku mguuni...wacha ashangae...akaniuliza kwani kuvaa cheni mguuni si urembo tu,,,

Nkamwambia ndio maanake...yani jamii inakulimit uhuru wa kufanya kitu roho inataka....

iwe cheni au pete ni vitu ambavyo wala havibadili ngozi wala nini lakini watu wame define wanavyotaka wao...and the definiton is widely acceptable...

Ila nimegundua ni Tz tu ndio tuna define hizi cheni this way...kwa wengine ni urembo tu...

Namlaani huyo aliyeanzisha hii definition...kwa sababu nina hamu kweli ya kuvaa kikuku...ila ndio hivyo tena....na ujanja wangu wote nimekuwa limited na hii definition...

Mimi nakuruhusu....
 
mi napenda kuvaa japo nishakatazwa once ikabidi niache ,esp vya gold huwa vinapendeza sana changanya na mtu awe na mguu au kiuno kizuri..wl get back to wearing em sometimes,binadamu bana hawana jema and it's impossible to please everyone,fanya vile roho yako inataka cz moyoni unajua ni urembo tu umevaa sio kuuza.as long as u feel prettier in them,WHY NOT???
 
Muone huyu miguu yake ilivyo. Nimemnasa maeneo fulani.
 

Attachments

  • 1407228776375.jpg
    1407228776375.jpg
    80.2 KB · Views: 329
Nijuavyo mimi kikuku ni pambo kama kuvaa hereni, bangili au mkufu.Je hicho kitu kingine unachosema wewe ni kipi maana tunaelimishana hapa.

Nimewahi kusikia pia kupaka wanja,kupaka hina, au kuvaa kofia zile za wenzetu watu wa pwani kuna maana yake.Je hizo maana ni of universal application?
majanga jamani
 
Ndio nataka nijue vina maana gan?pia nijue vinachukua nafasi gani ktk mapenzi coz najua masuala mengi ya urembo mnayoyafanya wadada lengo lenu huwa nikuwavutia wanaume,je kipi kinachomvutia mpenz wako?Na je faida yake nini?
Mm navaa chen kiunon,nkiwa na mpz wangu naibana,nkiibana vile tukiwa tuna duu nkikata kiuno inamuongezea nyege sababu inakua inamtekenya laaziz kiunon ana enjoy
 
kiuno cha mwanamke ni muhimu kikawa na vikorombwezo bana, kama ni cheni ya gold, silver, precious stones au hata shanga za kawaida zinaongeza mhemko, siyo kiuno kitupu kabisa kama umelala na boflo!
 
African-Ankle-Bracelet-1024x665.jpg


Suala la urembo kwa sisi wanawake linjumuisha mambo mengi sana kuanzia mavazi na hereni, vishaufu bangili vidani na makochokocho mengine.

Siku za karibuni kumeibuka mtindo wa wanawake kuvaa vikuku yaani cheni za miguuni. jambo hilo limekuwa likipigiwa kelele na baadhi ya watu wenye mrengo tofauti wakihusisha jambo hilo na tabia zisizofaa.

Lakini cha kushangaza nimewahi kuona baadhi ya wabunge wanawake na viongozi wa kike serikalini tena wenye mamlaka makubwa wakiwa wamevaa vikuku tena wengine walipata hata fursa ya kupiga picha na mkuu wetu na vikuku vyao.

Ninachofahamu mimi, bungeni ni mahali ambapo mavazi yanazingatiwa sana, na ninaamini wengi wetu tumewahi kushuhudia baadhi wabunge wakitolewa nje kwa sababu ya mavazi yao kuonekana kwenda kinyume na matakwa ya bunge, lakini pamoja na jamii huku nje kuwahukumu wanawake wanaovaa vikuku kama watu waliopotoka kimaadili, lakini kwenye eneo hilo la bunge inaonekana jambo hilo limepewa Baraka.

Sasa kwa kuwa suala la urembo kwa wanawake linaenda na wakati, hivi sasa tumerudi Kiafrika Zaidi, na sasa urembo wa shanga umechukua nafasi. licha ya shanga kutumika kama chachandu ya kunogesha mapenzi kwa kuvaliwa kiunoni na wanawake, lakini kwa miaka mingi urembo wa shanga umekuwa ukitumiwa na waafrika wake kwa waume katika kujipamba.

Mfano mzuri ni kwa Wamasai ambao kwa miaka mingi wamekuwa wakijipamba kwa shanga wake kwa waume na wamekuwa wakipendeza haswa.






Sasa miye hivi karibuni nimeamua kujipamba Kiafrika Zaidi kwa kutupia urembo wa shanga mwilini kiunoni hadi mguuni.

Sasa sijui wenzangu mtanionaje?


CC:
miss chagga, miss neddy, miss strong, Karucee, MankaM, DEMBA, Munkari, tinna cute, Tina, Paloma, sister, Ennie, Arabela, Preta, farkhina, Asprin, Mentor, watu8, charminglady, mwekundu, Fixed Point, Ruttashobolwa utafiti, Tyta, Kaunga, Neylu
 
Back
Top Bottom