Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Are you mad?Kuna tetesi zimeenea mitaani kuwa wengi wa wavaaji wa kikuku "cheni mguuni" kwamba wanatoa ule mtandao wa robo shilingi. Je kuna ukweli wa hii kitu? :help::help:
*****Nawasilisha*****
Jamani kuna majukwaa tofauti humu ndani kama mapenzi huyawezi si lazima utoe comment sio kushushiana heshima.Are you mad?
Kwani JF ni kwaajili ya siasa pekee? Hili ni Jukwaa la Mahusiano na mapenzi so kama huwezi nenda kwenye jukwaa linalokuhusu na sio kudis wengine. CHAPA LAPA!!!!:car:jf inazidi kuwa very low...............
kwani mtaani kwenu hakuna vijiwe vya uzushi? Haya ndo maisha ya k-tz, baada ya kazi basi maongezi na starehe za hapa na pale. Ni vizuri kutembelea vijiwe vya kahawa ili upate yanayojili huko.uzushi mtupu. ..
Mtaani kwenu wanatakiwa waanze kufanya kazi. Waachane na miguu ya watu. ..
Hawa ndo wanaotoa mtandao wa robo shilingi? Thankx kwa picha.
Hawa ndo wanaotoa mtandao wa robo shilingi? Thankx kwa picha.
Asante sana kwa maelezo ila kwanini jamii inawafikiria vibaya wanaovaa kikuku? Naomba maelezo kidogo ni nani hasa alieanza kutumia hii style.kuna ambao hawavai na wanatoa mtandao kama kawa, kwayo hicho sio dili sana ni kama urembo tuu!
Acha uzushi na siku nyingine usilete upuuzi kama huu hapa.Kama imekutokea wewe usidhani kila anayevaa pambo hili ni mmoja wa hao wako waliokutokea.NI kweli tena hata huombi anaweka mwenyewe,NNA USHAHIDI KWA HILI IMENITOKEA MWENYEWE
sio hawa mzeya hawa ni wabunge wetu wa kuteuliwa naona wametinga vikuku ila sina uhakika kama ni kama ulivyosema kwa sababu sitembei na mambo flan yao
Acha uzushi na siku nyingine usilete upuuzi kama huu hapa.Kama imekutokea wewe usidhani kila anayevaa pambo hili ni mmoja wa hao wako waliokutokea.
Kwa faida yako na wengineo, huwezi kumsoma mtu kitabia kwa jinsi alivyojipamba. Udhaniaye ndiye basi utakuta siye and vice versa. Kuna wengine wana fikra mbaya au potofu na hawa wanaposikia "tetesi" basi hawakawii kuanza kusema ni "ushahidi".
Katika kila jamii hapakosekani watu wenye mitindo ya maisha iliyo nje ya kawaida.Watu kama hawa hawawezi kutofautishwa na wengine kwa maana ya mavazi au mapambo.Inapotokea wanaonekana nao wamejipamba kama " wengine" basi wenye akili finyu hurukia kutoa tafsiri ambazo hazipo kama mnavyosema hapa.Kwa taarifa yenu vikuku, vishaufu, hereni ( hata wanaume huvaa siku hizi) za masikio na hata sehemu nyingine za mwili ni pambo tu linaloweza kuvaliwa na mtu yeyote bila kutangaza chochote.
Hatuwezi kuacha kuvaa mapambo yetu ati kwa vile kuna watu wachache wasiojua, wanaeneza tetesi na uvumi.......
Nimeuliza kaka bt sijasema kama hawa ndo wanatoa mtandao wa robo shilingi, kumbuka mimi nimeuliza mkuu kama hizi tetesi zina ukweli au ndo mbinu ya kuchafuana tu ya watoto wa mujini.
teh......teh! hapo mie mgeniAsante sana kwa maelezo ila kwanini jamii inawafikiria vibaya wanaovaa kikuku? Naomba maelezo kidogo ni nani hasa alieanza kutumia hii style.