Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Kwanini watu wawe wakali swali ni kuna ukweli? lakini asilimia kubwa hutumia vikuku kama vitambulisho kuwa anakwenda anazunguka kotekote. Hutaki shauri yako.
 
Sasa kama hiyo ndio tafsiri wamasai jee tutasemaje? Maana wao mpaka wanaume wanavaa..
 
huo ni mtazamo wako na wala sishangai lakini ukweli ni kwamba wanaofanya mara nyingi hawapendi kujulikana na wala hawavai hivo vikuku huo ni urembo kama ulivo decoration nyingine
 
Sorry, Unataka kuniambia wewe ujawahi kusikia hizi tetesi au ndo unapinga kitu ambacho umeshawahi kuona au kusikia?

Ndiyo maana nikasema kwamba huwa hawajui mapambo yanavaliwa vipi na wapi na wala hawaulizi, huibuka na kuanza tafsiri zao wenyewe.

Wamasai jee, lakini wao wanavaa vya shanga maana dhahabu siyo jadi yao. Jee hawa unatafsiri vipi?
 
Hivi na wale wanaovaa kibata je? Mmmh... Na kipaka...?
 
Obama+Gives+Fathers+Day+Speech+Sunday+Church+sXInawfxMaFl.jpg

hapa kikuku hakijaonekana vizuri
 
Wengine kwetu ukiwa mwanamke umetahiriwa unavaa kikuku cha silver. Inategemea na mila za eneo husika.
 
Kuna tetesi zimeenea mitaani kuwa wengi wa wavaaji wa kikuku "cheni mguuni" kwamba wanatoa ule mtandao wa robo shilingi. Je kuna ukweli wa hii kitu? :help::help:

*****Nawasilisha*****

Kwa hiyo Wamasai wote wanatoa TIGO
 
Si kweli hata kidogo, ni urembo tu. Kwani wavulana wanaotoboa maskio na kusuka nywele ni mashoga? Si wamependa tu urembo huo.
 
Kuna tetesi zimeenea mitaani kuwa wengi wa wavaaji wa kikuku "cheni mguuni" kwamba wanatoa ule mtandao wa robo shilingi. Je kuna ukweli wa hii kitu? :help::help:

*****Nawasilisha*****

Yeah kwa zamani ilikuwa hivyo hata ukibeba mzigo huna haja ya kuuliza lakini siku hizi watu wanaiga unaweza omba huko mkakosana bure wanavaa kama urembo
 
9k=

huyu nae mpaka kwenye kidole?duu atakuwa anatoa Robo shilingi na robo ya robo shilingi
 
Kuna tetesi zimeenea mitaani kuwa wengi wa wavaaji wa kikuku "cheni mguuni" kwamba wanatoa ule mtandao wa robo shilingi. Je kuna ukweli wa hii kitu? :help::help:

*****Nawasilisha*****

ndo manake
 
On my side, napenda kuvitazama tu wanawake wakiwa wamevaa, I mean vinavutia. Sioni correlation yeyote kati ya kuvaa kikuku na tabia ya mtu binafsi. kwa hiyo, tetesi hizi SIO ZA KWELI
 
Back
Top Bottom