Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Nakumbuka mada kama hii imewahi kujadiliwa hapa kitambo kidogo.... Well, mimi bado nasema kuwa kikuku kina maanisha kitu fulani... na anayejipamba kwa kikuku huwa analengo la kufikisha ujumbe kuwa mambo fulani hapo kwake ni ruksa...!
oooooooh ok lakini watu wapwani naskia ina maana nyingineee
 
Wakuu habari za mida,Nilikua naomba mnifahamishe,kua mwanamke anapovaa cheni mguuni hua anakua namaana ya kitu gani?
 
Akivaa mguu mmoja anamaanisha panatoka hapo tu
Ila ukiona amevaa miguu yote miwili ujue ni alama ya kunatoka kote kuwili yaani OG na TIGO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii mada ipo humu

Wacha uvivu, seach hapo ujisomee

D.A "Mwanaume mashine"
 
hii kitu inaniamsha mori vibaya sana nikimkuta dem wangu kazivaa gheto yan genye zinapanda maradufu

bt sipend kumuona akivaa ovyo ovyo mitaan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
b8b4f90c17ccaf05d4470b571a811e32.jpg

Wengi wanasema ukiona mwanamke kavaa cheni mguuni (Kikuku) ni kiashiria huyo mwanamke analiwa nyuma lakini wengine wanasema ni urembo tu
Kwa uzoefu wangu mdogo kupitia video za ngono nimeona wachezaji wengi hasa wale wanao act Anal sex wamekua wakivaa Kikuku hasa mguu mmoja ,Je kuna uhalisia kwamba hata hawa Dada zetu wengi ndo mchezo wao huu wa kusukumwa nnyaa? Wenyewe wanadai 0713 ndo habari ya mjini
Wadau fungukeni hapa jinsi unavyoelewa hii kitu

Kwa ufafanuzi huu wako Kuntu kabisa Mkuu Je nikimuhisi ndivyo sivyo Mchezaji wa Yanga SC Raia wa Congo DR Papy Kabamba Tshishimbi Shishi Baby nitakuwa nimekosea? Huwa anapenda mno kuvaa ' Kikuku ' kama cha hapo pichani na Mguu huo huo wa Kushoto.
 
Acha wavae tu. Huwa wananivutia sana... Hasa umkute ana vidole vilivyoumbika vizuri na kisigino safi ukiacha wale wenye vidole kama tangawizi na wachafu.
 
Acha wavae tu. Huwa wananivutia sana... Hasa umkute ana vidole vilivyoumbika vizuri na kisigino safi ukiacha wale wenye vidole kama tangawizi na wachafu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Vidole kama Tangawizi[emoji119] [emoji119]
 
Hizo imani potofu tuu, ni urembo tuu, ina maana na wamasai nao ni kama unavyodhani?
 
Back
Top Bottom