Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

La kushangaza hata viongozi haswa wa kike kwenye taasisi zetu na mijimama usiyoidhania unakuta wamevaa. Unabaki na maswali yasiyo na majibu.
 
Maneno yao sio sheria, wao wanaamini hivyo kwetu sisi ni urembo! Acha dada zetu wapendeze
 
Kila kitu mnawaza ndivyo sivyo hebu wapeni break kumbuka hata bi mkubwa wako nae alikuwa kijana.Na alifanya hayo uenda, ni wakati tuu tuwape Uhuru wao ukipita wataacha.
ulichoandika hakiendani na mtu kuelimishwa mkuu
 
Nataka nijuwe na kufahamu huu utamaduni.
Wa kuvaa shanga kwa wanawake wameupata wapi, au nchi gani maana
Ukibahatika kukutana na wanawake wengine kiunoni kavaa shanga kama,
50 zimepungua 15 au 20 na bado mwingine utamkuta na mishanga kiunoni kwake kila rangi anayo
Sawa ni urembo lkn si uvae hata moja basi au mbili zinatosha.
Matokeo yake zikiwa nyingi ukiwa na
Mwandani wako chumbani mnagegedana, na haswa umkute mwenzako ajanyoa mav*zi zinaweza hata kusokotana na kung'ang'aniana na mishanga lukuki ya kiunoni, baada ya raha inakuwa karaha NAWASILISHA.
 
54996ae0fea132c867ce7a75bbe28d7d.jpg
0d8c93157ddbd729ec2fbac391c07b86.jpg
mfano kama huyu [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
Uzuri wa shughuli za faragha kila mtu yuko na taste yake, kama wewe hupendi wapo no..tupo tunaopenda ziwe nyingi. So ushauri wangu ni hivi, ukikutana na dada kavaa nyingi na zinakukera mwambie tu apunguze...tena unaweza hata kumsaidia kuzipunguza ikawa ni sehemu ya vijimichezo kabla ya shughuli. Imagine kuwa kwa kila bao unamtoa moja...si mtakesha ndani na atakukumbuka milele?

Maana ukija huku ukasema wote wapunguze for the sake of meeting you one day wakati hubby wake ndio anachanganyikiwa nazo utakua unampigia mbuzi gitaa tu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] mkuu mbona umetokwa na povu sana, inaelekea unapenda sana mishanga...
 
Shanga is life! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom