Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Hazina ishu, hata havai mia kama hana maujuz na kitumbua bomba hazisaidii kitu.
 
Siku hizi msicana akivaa shanga za kimasai anaambiwa unavaaa shanga kama bibi mambo gani. labda za silver na gold zinakubalika kiasi.
 
Lazima kuwe na tofauti kati ya Jike au Dume ktk majamboz, binafsi kama hauna shanga au cheni hakuna mzuka. Hivi wanawake wengine wanakataa kunyoa nywele sababu wanafanana na baba zao, sasa ina bidi wajue kuwa shanga nazo au cheni hutofautisha kiuno cha men na dem wavae sana tu.
 
Sijui nini sababu, ila wanawake wengi siku hizi hawavai shanga, na hata wanaume hawana time nazo.
blue, vivivan bado anavaa
red, wanaume wa kimasai na wabarbeig/wamangati bado wanazo...............
any thing more?
 
nakumbuka tarehe4 usiku pale Iringa Holiday's pub kama sikosei.
Nilihesabu shanga kama ishirin iv za kiunoni.
The same to Mbeya.
Bujibuji unaniangusha my friend.
Hizo zikimwagika kwenye daladala ni soo maana zitajaa kote.
 
Wengine wanavaa mguu mmoja na wengine yote miwili...kweli bora watufahamishe maana yake
 
Tuwaulize wahindi jamii za ujurat ndo culture yao huku bongo si waigaji tu?
 
aah ni sawa na hereni na bangili bana..................mbona hizo hukuulizia?
 
na siku hizi kuna ongezeko kubwa kwa wa dada wanaovaa hizo cheni miguuni mpaka inatia mashaka
 
Back
Top Bottom