Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Hivi kumbe cheni za miguuni ndio zinaitwa vikuku? Kwa nini vimeitwa vikuku? Je hilo jina lina uhusiano wowote na hawa kuku tunaowafahamu?
 
Jamani pamoja na kuwa mtu mzima ila sijui matumizi ya hivyo vitu viwili ambavyo huwa attached kwenye body za baadhi ya wanawake.JE KUNA MTU ANAWEZA KUNIJUZA NINI MATUMIZI YA HIZO SHANGA NA KUCHA NDEFU HUSUSANI KWENYE MAPENZI.

Nimejaribu kumuuliza Gf wangu nae yupo kapa.
 
Kwani we kuchazako unatumiaje,

Sidhani kama umenielewa dada yangu.Nimeuliza kucha za wamama isitoshe ni kucha ndefu ambazo tofauti na zangu mi ni fupi na wala sijawahi kuzitumia kwenye mapenzi yaani hazipo oficially kwa kazi hiyo.Asante kwa ushiriki wako.
 
Kucha kwa ajili ya kuminya vipele na shanga ni pambo.
 
Kucha sijui, ila ukimpata dada anayejua kukata mauno vizuri/anayejituma huku amekuvalia shanga utapenda mwenyewe, eyebrows! Kuna wanaume wengine wanapenda sana kuzichezea wakati wa s..x pia, hivyo huleta hamasa fulani kati ya wapenzi.
 
Kucha ndefu huwa zinavutia, hasa kama mpingo ukiwa umeshikiliwa na viganja vyote viwili wakati anananihii...
Kuhusu shanga kuna vitu viwili.

Kwanza, kama ni shanga nene, kelele zake ni kama percussions, huwa zinaleta mashamsham. Pili, akikaa mkao wa mbuzi kachoka, na miguu yako ikiwa imezunguka kiuno chake, shanga hutumwa kama balance (haswa zikiwa mbili). We zishikilie na mkono mmoja kwa nguvu,(tight grip) halafu mnong'oneze sikioni.... "Nishazishikilia!"

Halafu kama da anajuwa anachotakiwa kufanya, ni starehe kwenda mbele. Hio huitwa Rodeo!!
 
Sidhani kama umenielewa dada yangu.Nimeuliza kucha za wamama isitoshe ni kucha ndefu ambazo tofauti na zangu mi ni fupi na wala sijawahi kuzitumia kwenye mapenzi yaani hazipo oficially kwa kazi hiyo.Asante kwa ushiriki wako.
Sasa kama za kwako haziko maalumu kwa kazi hiyo nini kinakufanya ufikirie za wanawake ziko kwa kazi hiyo?
 
Tafuta hapa hapa JF kulishakua na uzi uliokuwa na maelezo marefu kuhusu shanga unazoziulizia
 
kazi ya shanga ni kuzikata ili mziokote, full stop.
 
Jamani pamoja na kuwa mtu mzima ila sijui matumizi ya hivyo vitu viwili ambavyo huwa attached kwenye body za baadhi ya wanawake.JE KUNA MTU ANAWEZA KUNIJUZA NINI MATUMIZI YA HIZO SHANGA NA KUCHA NDEFU HUSUSANI KWENYE MAPENZI.nimejaribu kumuuliza Gf wangu nae yupo kapa.

Kucha kwa ajili ya kukuparua hasa shingoni na mgongoni. Shanga ni pambo na wengine hupenda kuzichezea.
 
  • Thanks
Reactions: BPM
Nenda kwenye blog ya MWANAMKE NA NYUMBA nakumbuka kuna topic inayohusiana na shanga.
 
Back
Top Bottom