Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Lizzy unavaaga vikuku?
Used to. . .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lizzy unavaaga vikuku?
Again. . . out of my league.Stay there.
yamekua haya jamani??
prezoo, Lizzy may i throw a white towel for the love of the forum??
c'mon guys please, we love ya both
I dont wanna see this dudes...
View attachment 42389
Kongosho kuna mkorofi aliiba password yangu aisee. . . .Heeee, yaani bibi du nimeondoka kidogo tu mmemwaga michele, nyie watoto mna visa.
Lizy, umeanza lini na wewe? ulitakiwa uwe twisheni
huyu NN si alikuwa kaenda lala
Prezidaa, nilidhani unasaini sheria?
Ukiingia jf, shut down server ya emotions utaenjoy kama nini.
Alikuwa anatafuta nini huko.nukta
alitaka akaanike godoro nje
Khaaaa! kulitokea nini hapa? naona post zilokuwa deleted nyingi kuliko ziloachwa.
Nikikupenda nitakulinda, wewe bwatuka tu hapaharibiki kitu lolHeheh usiulize maana nikikwambia mwenyewe akatokea hapatakalika.
Nikikupenda nitakulinda, wewe bwatuka tu hapaharibiki kitu lol
Ndio maana mimi sitafuti kilicho kabatini kwa wife, kwenye pochi zake au simu yake. Utakuta vitu vya kukutia presha. Hata ukimwacha karibu wote wako hivyo hivyo. Tulia na unachokiona, usichokiona hakitakusumbua.
Hata sisi bili zetu za vikao vya jioni zingefika nyumbani!!
alitaka akaanike godoro nje
alitaka akaanike godoro nje