Urgent:Jinsi ya kumsaidia mwenye presha ya ujauzito

The Dude

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
1,029
Reaction score
459
kuna emergency hapa mdada mjamzito kapata presha ya kushuka hapa hana nguvu ndo tunamwahisha hospitali.
Huduma ya kwanza tumfanyeje meanwhile?
 
Pole sana sikuiona hii...natumai hali yake imetengemaa sasa.

Siku nyingine ikitokea fanya yafuatayo:

  • Kama amesimama basi alale kiubavu ubavu (ubavu wa kushoto) hii usaidia kuongeza mzunguko wa damu kwa kiumbe kilicho tumboni na hivyo basi kuzuia madhara yanayoweza kumpata mtoto tumboni pia uongeza mzunguko wa damu kwenye ubongo wa mama na hivyo kusaidia kupunguza kizunguzungu.
  • Kama eneo haliruhusu kulala labda (mfano kwenye basi) mama mjamzito akiwa amekaa ainamishe kichwa katikakti ya magoti hii husaidia kama mbinu ya hapo juu ila mbinu ya kulala ni njema zaidi.
  • Tafuteni msaada zaidi wa kitabubu kama kumuwaisha hospitali au kumuita daktari au muhudumu wa afya aliye karibu.
Nini husababisha kushuka kwa presha kipindi cha ujauzito??

  • Kusimama kwa haraka sana.
  • Kulalia mgongo (mama anashauriwa kulalia ubavu wa kushoto)
  • Upungufu wa damu mwilini (Anemia)
  • Kupungukiwa na maji mwilini (pia upungufu wa chakula)
  • Mwili kupata joto sana.
  • Kufanya kazi za nguvu sana.

Ni hayo tu kwa sasa ila ningependa sana kujua mama anaendeleaje
 
asante sana kwa ushauri, sasa kama ni presha ya kupanda unafanyeje? Halaf utajuaje kama ni ya kushuka au kupanda? Msaada once again mkuu!
 
Je ni ugonjwa mpya kwake?maana kama huwa anatendency ya kutokewa na ya kushuka basi hiyo ni ya kushika na kama inamtokeaga ya kupanda basi ni ya kupanda....
 
La Cosa Mia Ahsante.
Kiukweli tulichanganyikiwa ila kwa sasa hajambo.

Tuliambiwa na mtu tumpe mirinda nyeusi au pepsi..hatukuambiwa sbb ila nadhan kwa kuwa ina gesi so inapandisha presha.

Hatukupata hzo soda karibu bahati nzuri akatokea msamaria mwingine akasema tumpe fanta-ndiyo ilipatikana duka la karibu-lakini tuweke na chumvi kwanza. Tulifanya hvo,ikawa na gesi na tukampa akanywa.

Meanwhile tulimuwahisha hospitali na wakamsaidia.Ila tangu hapo ninaogopa sana. Maisha ya wanawake wajawazito yako hatarini sana kumbe.Hapo hujaweka delivery complications,mara mafibroid,mara kuisha damu na ukifikiria maternal mortality rates ndo unaeza kuwa victim wa presha na wewe.

My worries zinazidi kwa kuwa ninameahamu dada flani ye alifariki mtoto akabaki.Na alijifungulia hospitali ya taifa kwenye vifaa na wataalam walobobea.

Mungu awalinde wanawake. Nawaheshimu zaidi sasa.
Kiroho safi.
 
Last edited by a moderator:
Je ni ugonjwa mpya kwake?maana kama huwa anatendency ya kutokewa na ya kushuka basi hiyo ni ya kushika na kama inamtokeaga ya kupanda basi ni ya kupanda....

Chemwali Alituambia ni ya kushuka na huu ni ujauzito wake wa pili na huwa inamtokea wakati wa ujauzito tu.
Napenda kujua,je presha hii inawezekana kuendelea hata mtu akishajifungua?
 
Last edited by a moderator:
asante sana kwa ushauri, sasa kama ni presha ya kupanda unafanyeje? Halaf utajuaje kama ni ya kushuka au kupanda? Msaada once again mkuu!

Presha ya kawaida kipindi cha ujauzito ni 140/90. Juu ya hapo ni High blood pressure....ikizidi 160/110 ni severe high blood pressure....

dalili za presha kupanda ni pamoja na:
  • Kuumwa kwa kichwa.
  • Matatizo ya kuona..(kuona ukungu nk)
  • Kuvimba kwa mwili (miguu , mikono nk)
  • Kuumwa kwa tumbo
  • Kutapika (tofauti na kutapika kwa kawaida kwa mama mjamzito ambayo mara nyingi ni asubuhi)
  • Kupungua au kuacha kabisa kucheza kwa mtoto tumboni.

ufanye nini ukiona hizi dalili:

  • Fanya kama nilivyokueleza kufanya mama akiwa na low blood presha.
  • Muone daktari ambaye atampima mama presha na mkojo kuangalia ana Preclampsia ili achukue hatua zaidi.

Nakushauri mama awe na utaratibu wa kwenda kliniki mara kwa mara kucheki afya baada tu ya kupata mimba pia kama anatumia pombe aache kipindi cha ujauzito huweza kusababisha kupanda kwa presha.

dalili za presha kushuka ni pamoja na :

  • kuishiwa nguvu
  • kusikia kizunguzungu
 
Chemwali Alituambia ni ya kushuka na huu ni ujauzito wake wa pili na huwa inamtokea wakati wa ujauzito tu.
Napenda kujua,je presha hii inawezekana kuendelea hata mtu akishajifungua?

NImeuliza hivyo baada ya yeye kupost tena hivi !!!"""""asante sana kwa ushauri, sasa kama ni presha ya kupanda unafanyeje? Halaf utajuaje kama ni ya kushuka au kupanda? Msaada once again mkuu!""""""""""""
Then kuna magonjwa ambayo mtu huwa anakuwa hana but kipindi cha mimmba ambacho mwili huwa na mambo mengi ndani yake huchochea hata kujitokeza magonjwa ambayo hayakuwepo before lk pressure au sukari ambayo inategemea kati ya hali na hali..kuna wengi ambao hali hiyo huisha pindi tu kipindi cha mimba kinapokoma..wengine ambao ni wachache hujikuta washakuwa na huo udhaifu
 
Mkuu aliyeuliza kuhusu presha ya kushuka ni Mtego wa Noti na siyo mleta mada The Dude.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom