Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna emergency hapa mdada mjamzito kapata presha ya kushuka hapa hana nguvu ndo tunamwahisha hospitali.
Huduma ya kwanza tumfanyeje meanwhile?
asante sana kwa ushauri, sasa kama ni presha ya kupanda unafanyeje? Halaf utajuaje kama ni ya kushuka au kupanda? Msaada once again mkuu!Pole sana sikuiona hii...natumai hali yake imetengemaa sasa.
Siku nyingine ikitokea fanya yafuatayo:
Nini husababisha kushuka kwa presha kipindi cha ujauzito??
- Kama amesimama basi alale kiubavu ubavu (ubavu wa kushoto) hii usaidia kuongeza mzunguko wa damu kwa kiumbe kilicho tumboni na hivyo basi kuzuia madhara yanayoweza kumpata mtoto tumboni pia uongeza mzunguko wa damu kwenye ubongo wa mama na hivyo kusaidia kupunguza kizunguzungu.
- Kama eneo haliruhusu kulala labda (mfano kwenye basi) mama mjamzito akiwa amekaa ainamishe kichwa katikakti ya magoti hii husaidia kama mbinu ya hapo juu ila mbinu ya kulala ni njema zaidi.
- Tafuteni msaada zaidi wa kitabubu kama kumuwaisha hospitali au kumuita daktari au muhudumu wa afya aliye karibu.
- Kusimama kwa haraka sana.
- Kulalia mgongo (mama anashauriwa kulalia ubavu wa kushoto)
- Upungufu wa damu mwilini (Anemia)
- Kupungukiwa na maji mwilini (pia upungufu wa chakula)
- Mwili kupata joto sana.
- Kufanya kazi za nguvu sana.
Ni hayo tu kwa sasa ila ningependa sana kujua mama anaendeleaje
Pole sana sikuiona hii...natumai hali yake imetengemaa sasa.

Je ni ugonjwa mpya kwake?maana kama huwa anatendency ya kutokewa na ya kushuka basi hiyo ni ya kushika na kama inamtokeaga ya kupanda basi ni ya kupanda....
ale Tango na chumvi kidogo...
asante sana kwa ushauri, sasa kama ni presha ya kupanda unafanyeje? Halaf utajuaje kama ni ya kushuka au kupanda? Msaada once again mkuu!
Chemwali Alituambia ni ya kushuka na huu ni ujauzito wake wa pili na huwa inamtokea wakati wa ujauzito tu.
Napenda kujua,je presha hii inawezekana kuendelea hata mtu akishajifungua?
Mkuu aliyeuliza kuhusu presha ya kushuka ni Mtego wa Noti na siyo mleta mada The Dude.NImeuliza hivyo baada ya yeye kupost tena hivi !!!"""""asante sana kwa ushauri, sasa kama ni presha ya kupanda unafanyeje? Halaf utajuaje kama ni ya kushuka au kupanda? Msaada once again mkuu!""""""""""""
Then kuna magonjwa ambayo mtu huwa anakuwa hana but kipindi cha mimmba ambacho mwili huwa na mambo mengi ndani yake huchochea hata kujitokeza magonjwa ambayo hayakuwepo before lk pressure au sukari ambayo inategemea kati ya hali na hali..kuna wengi ambao hali hiyo huisha pindi tu kipindi cha mimba kinapokoma..wengine ambao ni wachache hujikuta washakuwa na huo udhaifu
Mkuu aliyeuliza kuhusu presha ya kushuka ni Mtego wa Noti na siyo mleta mada The Dude.