Wewe ****, mimi nipo kwenye kitabu changu cha 4 cha passport, huna cha kuniambia kwenye maswala ya exposure. Unajua hata visa zinapatikana vipi au zinafananaje..? Wewe ndo huna exposure maana hata internet spamming za kawaida tu unashindwa kuzigundua, unakuja kuzibandika humu JF mwisho wa siku unaonekana mshamba tuTatizo hauna exposure hilo ni janga kubwa la taifa letu.
Tapeli huwa hachagui pesaMara zote roho ya kimasikini huwaza kutapeliwatapeliwa kila saa. Mtu akutapeli elfu 10. Jitafakari mtazamo wako it's so negative.
Ndio maana nilisema una akili ndogo mkuu. Hakika ni kweli unawezaje kujua jinsia ya mtu wa jamii forum wakati mtandao hauonyeshi jinsia. Huu mtandao wetu andika post comment lakini yote unayoyaona hapa yaache hapahapa. Otherwise utabakia kuwa sifuri kichwani.Endelea kuuza K kwa mgongo wa flash
China utapasikia tuu huwez kwenda
Wewe upo hapo tz una maendeleo gan au kuuza flash ni maendeleo?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tushamshitukia tapeli huyoWewe ****, mimi nipo kwenye kitabu changu cha 4 cha passport, huna cha kuniambia kwenye maswala ya exposure. Unajua hata visa zinapatikana vipi au zinafananaje..? Wewe ndo huna exposure maana hata internet spamming za kawaida tu unashindwa kuzigundua, unakuja kuzibandika humu JF mwisho wa siku unaonekana mshamba tu
Ndio maana nilisema bado wewe upo kwenye primitive age. Hilo lipo wazi kabisa.Wewe ****, mimi nipo kwenye kitabu changu cha 4 cha passport, huna cha kuniambia kwenye maswala ya exposure. Unajua hata visa zinapatikana vipi au zinafananaje..? Wewe ndo huna exposure maana hata internet spamming za kawaida tu unashindwa kuzigundua, unakuja kuzibandika humu JF mwisho wa siku unaonekana mshamba tu
Hao nawafahamu ni marafiki zangu. Nilishawahi kwenda hapo mwaka jana.Wasiwe tu wachina wa kariakoo wakakuambia tuma nauli kwanza
Ili kuonyesha kwamba ni marafiki zako,na kuondoa sintofahamu ya kuitwa tapeli!Hao nawafahamu ni marafiki zangu. Nilishawahi kwenda hapo mwaka jana.
unawaletea watz makozi magumu watawezea wapi kwa akili gani? waletee kozi za hotel management, community development..wakijitahidi sana accountancy.Nimepata email wachina wanatafuta watu wakwenda China wajifunze mambo ya mafuta.
Ndugu yangu kama una hamu ya kwenda China anza kufanya maombi. Mwisho wa maombi ni kesho.
中文版
2024 Shanghai Government Scholarship -- “Belt and Road” Petrochemical Industry Technician and Executive Development Program
2024 Shanghai Government Scholarship -- “Belt and Road” Petrochemical Industry Technician and Executive Development Program
I. Brief Introduction
Located in the southwest of Shanghai, East China University of Science and Technology is a dynamic and prominent research-intensive university. It is the first national key university featuring chemical engineering disciplines in China.
With 5 years’ successful experience of “The Belt and Road” Petrochemical Industry Technician and Executive Development Program’s operation, the 2024 program,focusing on energy green low-carbon transformation and upgrading trend and strategy, is open for application now!
II. Program Content
Including but not limited to the following:
Industry knowledge and development trend professional lecture module (24 class hours): hydrogen energy industry development status both domestic and overseas, green hydrogen energy key technology research, green hydrogen energy development trend and typical scene outlook, hydrogen energy integration demonstration application, key core technology and application basic research.
Cultural practice module (48 class hours): practical science and technology Chinese courses, mainly based on science and technology Chinese, targeted to increase energy chemical industry, green hydrogen energy professional vocabulary; cultural practice, mainly based on the introduction and visit of China's rural ecological hydrogen energy demonstration project.
Field research (32 class hours): visit and research of relevant representative enterprises in Shanghai, Jiangsu or Zhejiang under the Chinese hydrogen energy industry chain, and field survey of the investment and financing of the hydrogen energy industry.
III. Program Arrangement
This project is supported by the Shanghai Government Scholarship, which covers tuition, accommodation and meals, but does not include round-trip air tickets to Shanghai.
1) Targeted Candidates
Technicians and managers of petrochemical industry from countries along the Belt and Road who are not Chinese nationals; teachers and graduate students of relevant majors in universities.
2) Teaching Language
English
3) Duration
May 13th -May 28th , 2024
4) Application Deadline
April 15th , 2024
IV. How to Apply
Log on East China University of Science and Technology - Online Service Platform for International Students to register online.
After registration, input Project Code "BR2024" and submit your application.
CONTACT US
College of International Education, ECUST
Add:Ground Floor, Lizhi Building 130 Meilong Road, Shanghai, China, 200237
Tel:+86-21-64253277/64253279
Fax:+86-21-64252280
E-mail:cie@ecust.edu.cn
ECUST International Students
WECHAT:ies_students
All Rights Reserved by College of International Education of East China University of Science and Technology
Ni bora wasiamini na waniite tapeli tu. Huwa sipelekeshwi na watu wenye akili primitive. Wale walioona tangazo pale kuna link ya kufanya maombi. Kazi kwenu wasio amini unapita pembeni.Ili kuonyesha kwamba ni marafiki zako,na kuondoa sintofahamu ya kuitwa tapeli!
Weka ushaidi kwa copy ya visa yako kwenda kwao China,weka barua yao ya mwaliko kwenda China, na nyaraka nyingine ambazo sita clear doubt yoyote
La sivyo watu hawataamini! Asante
Asante.Ili kuonyesha kwamba ni marafiki zako,na kuondoa sintofahamu ya kuitwa tapeli!
Weka ushaidi kwa copy ya visa yako kwenda kwao China,weka barua yao ya mwaliko kwenda China, na nyaraka nyingine ambazo sita clear doubt yoyote
La sivyo watu hawataamini! Asante
Omba tu unaweza kupata.je tuliosoma hkl ruks kuomba
Mkuu akili zako ni ndogo sana sikutegemea unaweza kuwa mtanzania mjinga kiasi hicho usiyeweza kufungua hata link mwenyewe ukalichunguza tangazo. Shame on you.Asante.
Weka namba yako ya simu nitakutumia pesa kila mwezi. Na utakua unapost kila mwamala hapa jamii forum.Tapeli huwa hachagui pesa
Tapeli yupo kama mvuta unga chochote kipitacho mbele yake ni halali kwake
Hata kama ni jero napita nalo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Akili ni nini? na una uthibitisho gani mi nimesoma university?Hivi wewe una akili sawasawa?? Humo kichwani zinachaji kweli? Unakua na mawazo ya kijima.
Usidhani kila mtu ana akili kama zako. Pitia usome hapa. Huyo ndio mimi. Nafanya kazi hii nipo seriously. Kama huwezi kufanya maombi ni bora ukae kimya.
Mwaka jana ulienda na visa ya 2019 howHao nawafahamu ni marafiki zangu. Nilishawahi kwenda hapo mwaka jana.
Hiyo ni residence permit yangu.
View attachment 2963313
Hiyo ni Residence permit. Hapo ni nyumbani mkuu.Mwaka jana ulienda na visa ya 2019 how
Nauliza tu maana visa ikitoka tu lazima usafiri kwa mda maalumu na sio baada ya miaka mitatu
Nisahihishe kama nimekosea maana mimi naenda kila nchi na visa nagongewa mlangoni tu
Ila miaka ya nyuma sana ilikuwa lazima ni apply na ina mda wake
Hizo pesa hadi uuze flash!!??? Hapana kwa kweli mtumie bibi kule KijijiWeka namba yako ya simu nitakutumia pesa kila mwezi. Na utakua unapost kila mwamala hapa jamii forum.