Urgent: Nimepata email wachina wanatafuta watu wakwenda China wajifunze mambo ya mafuta

Mkuu, hauitaji hata kuwa na akili nyingi kujua kama huyo mswahili hajawahi hata kuwa na passport. Sijui hata kama anajua boarding pass ni nini..? Maana kwenye visa, point of entry huko unampeleka mbali sana.
 
Ngoja wakuibie ndo akili ikukae sawa,unawafahamu wa Nigeria wewe.
 
Mkuu, hauitaji hata kuwa na akili nyingi kujua kama huyo mswahili hajawahi hata kuwa na passport. Sijui hata kama anajua boarding pass ni nini..? Maana kwenye visa, point of entry huko unampeleka mbali sana.
Acha roho mbaya mkuu wangu utafanikiwa. Unapata faida gani kutunga uongo moyoni mwako. Chukua link pale anza kuapply na share na kwa wenzako.
 
Tatizo hauna exposure hilo ni janga kubwa la taifa letu.
Jomba wewe huna exposure yoyote. Na kupitia nyuzi zako inaonekana bado uko kwenye msoto mkali. Jinsi unavyojibu kwa hasira ndo jinsi ulivyo katika hali ngumu. Ninakushauri nenda taratibu. Kutojiambia ukweli itakucost sana. Kama hiyo biashara yako ndogo ya kuuza flash haiingizi hela ya kukuwezesha kumudu mahitaji yako fanya hata vibarua vya ujenzi uongeze kipato. Kujiita meneja wa makampuni huku ukimiliki mbupu peke yake ni upuuzi.
 
Ndo wabongo, ni wabishi sana kila linapokuja suala la fursa kila mtu atajifanya mshauri mwisho anaishia kukatisha tamaa watu
Humu ndani ni akili yako tuu.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe hata ndugu zako wanakuzungumzia kila siku unafikiri hatujui. Sifa yako kubwa ni roho mbaya na wivu wa maendeleo kwa ndugu zako.
 
Usipanik unapoelezwa ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…