hooligan01
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 664
- 539
Okay. Nenda ulipojiandikishaHabari ndugu zangu,
Kama kichwa kielezapo juu naombeni msaada wenu yeyote mwenye kujua maana kinahitajika kesho.
Natanguliza shukrani
Nenda ofisi ya NIDA kuomba fast track ya ID ukiwa na evidence ya kufanyiwa fast track.Habari ndugu zangu,
Kama kichwa kielezapo juu naombeni msaada wenu yeyote mwenye kujua maana kinahitajika kesho.
Natanguliza shukrani
Zamani kidogo iliwezekana lakini walikuja kuustopisha, wameanza tena?Kwenye mtandao wa nida hilo linawezekana
Huduma hiyo ilishaondolewa namba inatosha, mamlaka zote ndani ya nchi zinalink na Nida huna haja ya kuwa na softcopy.Kwenye mtandao wa nida hilo linawezekana
"bahasha", hapo sasa utajuta kuwafahamu.Kama Upo nje ya nchi nakupia Pole , kama uko Bongo nenda ofisi za Nida , uwaeleze shida yako, ukiwa na bahasha
Kweli kabisa,namba inatosha.Huduma hiyo ilishaondolewa namba inatosha, mamlaka zote ndani ya nchi zinalink na Nida huna haja ya kuwa na softcopy.
Walishaitoa hiyo huduma siku nyingiKwenye mtandao wa nida hilo linawezekana