Urgent: Utaratibu wa kupokea mishahara dirishani urudishwe haraka

Kama unakatwa zaidi ya laki mbili ndo uje ulalamike kukatwa buku tatu!!

Na sio unakatwa hiyo ni kodi halali, anayekata ndiye aliyekulipaa…. jivunie hilo kama mzalendo acha kulialia.
Wewe huelewi hata unachoandika. Miamala ya kibenki Mtu amewekewa laki 2 na kukatwa 22,000/= wa laki 4 amekatwa 44,000/=

hiyo serikali ina watu wanaofikiria vizuri kweli?
 
Hakuna makato ya viwango hivyo kwa benki zetu, hujafikia kuwa na akaunti unatuchosha tu….. jikite kwenye songesha upigwe tafu.
 
Ni hivyo tuu, huu utaratibu urudishwe haraka. Sababu iko wazi, makato mapya ya kutoa na kuweka pesa bank hayavumiliki hata kidogo na yanamnyonya mfanyakazi directly sababu hajapewa option(s), yaani automatically anafosiwa kukatwa sababu hakuna njia ya kuuchukua huo mshahara bila kukatwa.

Haiwezekani hako ka salary nikalipie Income Tax, jumlisha makato lukuki na kubaki na ka take home kadunchuuu. Halafu ninapoenda kukachukua hako ka take home bado tena nilipe "Government Levy". Kwa nini nilipie kuchuchukua hako ka take home wakati nimeshalipa "Income Tax?".

Turudi old school tuu, mishahara itumwe kwa wahasibu wa halmashauri husika, kama ni taasisi basi zitumwe kwenye ofisi husika, kisha mtumishi ataamua yeye anapeleka bank ama anakaa nazo.
Tena ikiwrzekana uanze mwisho wa mwezi huu
 
Bora hata wewe una pesa za kuweka benki, Kuna wengine hata kukanyaga eneo la benki hawajawahi, lipa Kodi kwa maendeleo ya nchi yako.

Ninyi ndo wale vijana mnaokimbilia ulaya mkiamini kuwa huduma za jamii na Maisha ya watu wa ulaya Ni mazuri, hamjui kuwa nao waliumia kwa jasho na damu Hadi kufika hapo,!!

Au mabeberu ndo yaje yalipe Kodi huku kwetu?

Naunga hoja swala la Kodi na Niko tayari kunilipa , Ila nasubiri kwa hamu pia kuona wafugaji nao wanalipa Kodi ya mifugo wao kila mwezi, hii itasaidia kulinda mazingira yetu juu ya uharibifu unaofanywa na wafugaji hasa wasukuma na wamasai.
 
One day government workers they will be 50/50 government partners.......and they will be forced to work with less and less money.....

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Workers they will be[emoji777] , Workers will be[emoji736], don't use a noun together with a pronoun, this is not Swahili language .
 
Iko hivi. Mshahara unakatwa zaidi ya 20% PAYE. Unakatwa na mengine ya lazima (Statutory) ulichobakiwa nacho mfano umenunua bidhaa na risiti halali utakatwa 18% VAT. Kama umebakisha basi ujue utakutana na tozo za simu, bank n.k. Mwisho wa siku mshahara wako unakatwa PAYE+18% VAT hivyo karibia 50% Kodi. Bado tozo kwenye miamala, Mafuta n.k. Kiuchumi hii ni kuua Uchumi kwa sababu unachopata kinaingia kwenye expenditures na 0 kwenye uwekezaji. Misingi hiyo hakuna investment multiplier yenye maana. Mwishowe hatuwezi kujenga Uchumi usiowekeza ili kuzalisha mapato ya nchi, ajira n.k. Kama Mwigulu ni mchumi basi nina wasiwasi na Elimu na uwezo wake. Mh Rais washauri wako kiuchumi siyo wabunifu. Matokeo yake kuna chuki kubwa Sana mtaani dhidi ya Mh. Rais
 
Uzalendo ni kulipa kodi kwa maendeleo ya Taifa lako, yaani serikali ndiyo imekulipa huo mshahara ila ikitaka ikate tena kidogo tu unalialia!

Hii ni sawa na Mungu anayekubariki na kila kitu ila roho yako inauma kumpa chochote kitu.
Serikali inanipaje mshahara kama sio weledi wangu na nguvu zangu?
 
One day government workers they will be 50/50 government partners.......and they will be forced to work with less and less money.....

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
mkuu hadi sasa ishafika mkuu, maana kama mshahara unazidi 720,000. unakatwa payee 30%,sasa uje uweke 10% psssf/nssf, uweke makato ya TUICO 2% then uanze kuweka tozo za mafuta, miamala nk hyo 50% imetimuliwa vumbi,
this is rubbish country to live

Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
 
Ni hivyo tuu, huu utaratibu urudishwe haraka. Sababu iko wazi, makato mapya ya kutoa na kuweka pesa bank hayavumiliki hata kidogo na yanamnyonya mfanyakazi directly sababu hajapewa option(s), yaani automatically anafosiwa kukatwa sababu hakuna njia ya kuuchukua huo mshahara bila kukatwa.

Haiwezekani hako ka salary nikalipie Income Tax, jumlisha makato lukuki na kubaki na ka take home kadunchuuu. Halafu ninapoenda kukachukua hako ka take home bado tena nilipe "Government Levy". Kwa nini nilipie kuchuchukua hako ka take home wakati nimeshalipa "Income Tax?".

Turudi old school tuu, mishahara itumwe kwa wahasibu wa halmashauri husika, kama ni taasisi basi zitumwe kwenye ofisi husika, kisha mtumishi ataamua yeye anapeleka bank ama anakaa nazo.
Naunga mkono hoja japo mimi sio mfanyakazi lakini nawaonea huruma na hata wasiokuwa wafanyakazi, sasa hivi tutaanza kusikia tukianza kufanya biashara ukitaka kumuingizia mtu pesa kwenye account yake atakwambia weka na ya kutolea 😛 hii ni aibu huyu Mwigulu katumwa kumuharibia huyu Mama huko mbele kwa hili waibe kura tu lakini kihalalali asubuhi wanaenda kunywa chai na Raila. Too much
 
Kama unakatwa zaidi ya laki mbili ndo uje ulalamike kukatwa buku tatu!!

Na sio unakatwa hiyo ni kodi halali, anayekata ndiye aliyekulipaa…. jivunie hilo kama mzalendo acha kulialia.
kodi haikatw tu kweny kutoa ela , zipo options nying zinafuatia kwenye matumiz , so pesa mkono ingefaa zaid
 
Hakuna makato ya viwango hivyo kwa benki zetu, hujafikia kuwa na akaunti unatuchosha tu….. jikite kwenye songesha upigwe tafu.
mara nying hatutoi ela kwa mkupuo so makato yanakua mengi sana
 
Ni hivyo tuu, huu utaratibu urudishwe haraka. Sababu iko wazi, makato mapya ya kutoa na kuweka pesa bank hayavumiliki hata kidogo na yanamnyonya mfanyakazi directly sababu hajapewa option(s), yaani automatically anafosiwa kukatwa sababu hakuna njia ya kuuchukua huo mshahara bila kukatwa.

Haiwezekani hako ka salary nikalipie Income Tax, jumlisha makato lukuki na kubaki na ka take home kadunchuuu. Halafu ninapoenda kukachukua hako ka take home bado tena nilipe "Government Levy". Kwa nini nilipie kuchuchukua hako ka take home wakati nimeshalipa "Income Tax?".

Turudi old school tuu, mishahara itumwe kwa wahasibu wa halmashauri husika, kama ni taasisi basi zitumwe kwenye ofisi husika, kisha mtumishi ataamua yeye anapeleka bank ama anakaa nazo.

Walioko vijijini nauli kwenda na kurudi zaidi ya elfu 20 utawasaidiaje kufika dirishani!?
 
Yaani utumie nauli ya kama sh. 20,000 Kwenda kufuata mshahara dirishani? (usafiri,chakula na mengine mengi) kwa sababu unakwepa sh.8000?

Tuthamini muda
 
Walioko vijijini nauli kwenda na kurudi zaidi ya elfu 20 utawasaidiaje kufika dirishani!?
Hakuna sehemu au mkoa au wilaya kwa sasa kuna umbali wa namna hii mpaka halmashaurini, halmashauri zimesogezwa zaidi kwa kuvunjwavunjwa.

Hata hivyo, kama hii halmashauri itakuwa umbali wa hivi, basi naamini na ATM zitakuwa hivyohivyo, hivyo ni bora akienda aichukulie dirishani ili angalau aokoe hata hiyo 3000/=
 
Madelu ana force king apate pesa za kutosha kujaza mafuta ya ma viieite kwenye misafara ya chifu hangaya...
 
Back
Top Bottom