Wewe huelewi hata unachoandika. Miamala ya kibenki Mtu amewekewa laki 2 na kukatwa 22,000/= wa laki 4 amekatwa 44,000/=Kama unakatwa zaidi ya laki mbili ndo uje ulalamike kukatwa buku tatu!!
Na sio unakatwa hiyo ni kodi halali, anayekata ndiye aliyekulipaa…. jivunie hilo kama mzalendo acha kulialia.
Hakuna makato ya viwango hivyo kwa benki zetu, hujafikia kuwa na akaunti unatuchosha tu….. jikite kwenye songesha upigwe tafu.Wewe huelewi hata unachoandika. Miamala ya kibenki Mtu amewekewa laki 2 na kukatwa 22,000/= wa laki 4 amekatwa 44,000/=
hiyo serikali ina watu wanaofikiria vizuri kweli?
Tena ikiwrzekana uanze mwisho wa mwezi huuNi hivyo tuu, huu utaratibu urudishwe haraka. Sababu iko wazi, makato mapya ya kutoa na kuweka pesa bank hayavumiliki hata kidogo na yanamnyonya mfanyakazi directly sababu hajapewa option(s), yaani automatically anafosiwa kukatwa sababu hakuna njia ya kuuchukua huo mshahara bila kukatwa.
Haiwezekani hako ka salary nikalipie Income Tax, jumlisha makato lukuki na kubaki na ka take home kadunchuuu. Halafu ninapoenda kukachukua hako ka take home bado tena nilipe "Government Levy". Kwa nini nilipie kuchuchukua hako ka take home wakati nimeshalipa "Income Tax?".
Turudi old school tuu, mishahara itumwe kwa wahasibu wa halmashauri husika, kama ni taasisi basi zitumwe kwenye ofisi husika, kisha mtumishi ataamua yeye anapeleka bank ama anakaa nazo.
Workers they will be[emoji777] , Workers will be[emoji736], don't use a noun together with a pronoun, this is not Swahili language .One day government workers they will be 50/50 government partners.......and they will be forced to work with less and less money.....
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Serikali inanipaje mshahara kama sio weledi wangu na nguvu zangu?Uzalendo ni kulipa kodi kwa maendeleo ya Taifa lako, yaani serikali ndiyo imekulipa huo mshahara ila ikitaka ikate tena kidogo tu unalialia!
Hii ni sawa na Mungu anayekubariki na kila kitu ila roho yako inauma kumpa chochote kitu.
majambazi wakabe kwa mshahara wa 200,000.?Mjiandae na majambazi mtakabwa sana trh za Mishahara.
mkuu hadi sasa ishafika mkuu, maana kama mshahara unazidi 720,000. unakatwa payee 30%,sasa uje uweke 10% psssf/nssf, uweke makato ya TUICO 2% then uanze kuweka tozo za mafuta, miamala nk hyo 50% imetimuliwa vumbi,One day government workers they will be 50/50 government partners.......and they will be forced to work with less and less money.....
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Naunga mkono hoja japo mimi sio mfanyakazi lakini nawaonea huruma na hata wasiokuwa wafanyakazi, sasa hivi tutaanza kusikia tukianza kufanya biashara ukitaka kumuingizia mtu pesa kwenye account yake atakwambia weka na ya kutolea 😛 hii ni aibu huyu Mwigulu katumwa kumuharibia huyu Mama huko mbele kwa hili waibe kura tu lakini kihalalali asubuhi wanaenda kunywa chai na Raila. Too muchNi hivyo tuu, huu utaratibu urudishwe haraka. Sababu iko wazi, makato mapya ya kutoa na kuweka pesa bank hayavumiliki hata kidogo na yanamnyonya mfanyakazi directly sababu hajapewa option(s), yaani automatically anafosiwa kukatwa sababu hakuna njia ya kuuchukua huo mshahara bila kukatwa.
Haiwezekani hako ka salary nikalipie Income Tax, jumlisha makato lukuki na kubaki na ka take home kadunchuuu. Halafu ninapoenda kukachukua hako ka take home bado tena nilipe "Government Levy". Kwa nini nilipie kuchuchukua hako ka take home wakati nimeshalipa "Income Tax?".
Turudi old school tuu, mishahara itumwe kwa wahasibu wa halmashauri husika, kama ni taasisi basi zitumwe kwenye ofisi husika, kisha mtumishi ataamua yeye anapeleka bank ama anakaa nazo.
hahahaaaaaMishahara yenyewe madeni tupuu, unaenda na wadai wako kabisa kila mtu anachukua chake palepale unabaki na Elfu 50 zako..
kodi haikatw tu kweny kutoa ela , zipo options nying zinafuatia kwenye matumiz , so pesa mkono ingefaa zaidKama unakatwa zaidi ya laki mbili ndo uje ulalamike kukatwa buku tatu!!
Na sio unakatwa hiyo ni kodi halali, anayekata ndiye aliyekulipaa…. jivunie hilo kama mzalendo acha kulialia.
mara nying hatutoi ela kwa mkupuo so makato yanakua mengi sanaHakuna makato ya viwango hivyo kwa benki zetu, hujafikia kuwa na akaunti unatuchosha tu….. jikite kwenye songesha upigwe tafu.
Ni hivyo tuu, huu utaratibu urudishwe haraka. Sababu iko wazi, makato mapya ya kutoa na kuweka pesa bank hayavumiliki hata kidogo na yanamnyonya mfanyakazi directly sababu hajapewa option(s), yaani automatically anafosiwa kukatwa sababu hakuna njia ya kuuchukua huo mshahara bila kukatwa.
Haiwezekani hako ka salary nikalipie Income Tax, jumlisha makato lukuki na kubaki na ka take home kadunchuuu. Halafu ninapoenda kukachukua hako ka take home bado tena nilipe "Government Levy". Kwa nini nilipie kuchuchukua hako ka take home wakati nimeshalipa "Income Tax?".
Turudi old school tuu, mishahara itumwe kwa wahasibu wa halmashauri husika, kama ni taasisi basi zitumwe kwenye ofisi husika, kisha mtumishi ataamua yeye anapeleka bank ama anakaa nazo.
Hakuna sehemu au mkoa au wilaya kwa sasa kuna umbali wa namna hii mpaka halmashaurini, halmashauri zimesogezwa zaidi kwa kuvunjwavunjwa.Walioko vijijini nauli kwenda na kurudi zaidi ya elfu 20 utawasaidiaje kufika dirishani!?
Wewe ndiye uliomba hiyo kazi na ukasaini mkataba ukijua yote hayo, pamoja na huo ujuzi wako serikali haikuja kukuomba ukaitumikie.Serikali inanipaje mshahara kama sio weledi wangu na nguvu zangu?